Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,404
No sijafika, iko wapi hiyo?Ulishawahi fika ushongo beach?
No sijafika, iko wapi hiyo?Ulishawahi fika ushongo beach?
Washenzi sana, kuambukizana magonjwa, na mwanamke ukitoka hapo unaona aibu kusema kuwa ulibakwa.Mikadi beach.ila use makini na mgeni. Maana hawa jamaa wanajifanyaga wanawafundish mabint kuogelea kumbe wanagegedana ndani ya Maji.unaona mwanamke kamkumbatia ujue halo kitu IPO kwa k[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
na Ngonga Beach kwa muheshimwa sana Mwamnyange...kusafiiiiiiiiiiPia kuna ile ya lake Tanganyika na Matema Beach, kwakweli Tanzania tumebarikiwa.
loooh na maradhi haya jamani hata condom itatumika kweliMikadi beach.ila use makini na mgeni. Maana hawa jamaa wanajifanyaga wanawafundish mabint kuogelea kumbe wanagegedana ndani ya Maji.unaona mwanamke kamkumbatia ujue halo kitu IPO kwa k[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Watanzania na sisi huwa tunaendekeza vitu vingine visivyo na maana kabisa. Unakubalije mtu anazuka kama mwezi, na unamkubalia akufundishe au afundishe binti yako kuogelea? Tunakuwa rahisi kuaminiana mno! Vitu kama hivi vinakuwa na vyuo vilivyosajiliwa na mambo yanakwenda kitaalamu!Mikadi beach.ila use makini na mgeni. Maana hawa jamaa wanajifanyaga wanawafundish mabint kuogelea kumbe wanagegedana ndani ya Maji.unaona mwanamke kamkumbatia ujue halo kitu IPO kwa k[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
ununio tatizo wavuvi wengi mkuu nilikuwa huko jmosiNjoo ununio beach,usalama wa kutosha wa gari na mali zingine,hakuna vijana wakabaji.Kila jumapili watu wanakula muziki kuanzia saa 7 mchana hadi SAA 5 usiku,beach ina maji meupe hayana tope,beach ni free haina malipo lakini zipo groceries zinazouza vinywaji mbalimbali pamoja na nyama choma.
Yaani hizi bichi zisizo na maana ni shida tupu .vijana hawaogopi magonjwa kabisaWatanzania na sisi huwa tunaendekeza vitu vingine visivyo na maana kabisa. Unakubalije mtu anazuka kama mwezi, na unamkubalia akufundishe au afundishe binti yako kuogelea? Tunakuwa rahisi kuaminiana mno! Vitu kama hivi vinakuwa na vyuo vilivyosajiliwa na mambo yanakwenda kitaalamu!
OK bhasi njoo bagamoyo,badeco beach au msalabaniununio tatizo wavuvi wengi mkuu nilikuwa huko jmosi
Ulimpeleka akaogelee ama akashangae tu......?Ukijibiwa nijulishe nina mgeni nae anataka kwenda Beach, last weekend nilimpeleka Coco Beach hakupapenda.
msalabani tena? nimekuwa Yesu?OK bhasi njoo bagamoyo,badeco beach au msalabani
We si ubaki huko huko kwenu porini sababu ukija Dar utakuja kugongwa na magari uchafue lami tu,unauliza list ya beach za Dar kwani ni maembe hayo unataka kuchagua?Naombeni list ya beach nzuri za kuogelea weakend ukitoa Coco beach hapa DSM, ziwe na usalama sio za wakabaji na wabakaji na ni muda gani mzuri wa kuogelea? Mdau toka bush.
Nifah uliskiaje lakini,maana mhh sio mchezo.Wazee wa kuchangamkia fursa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni jina tu,kuna alama ya msalaba aliouweka Dr Livingstone wakat anaingia Afrika masharaki.msalabani tena? nimekuwa Yesu?
sawa mkuu nashukuruNi jina tu,kuna alama ya msalaba aliouweka Dr Livingstone wakat anaingia Afrika masharaki.
Ujue na mimi sintakua mbali na mamito au vipi?ukienda huko naomba twende wote mamito
Nilifurahia mkuu...Nifah uliskiaje lakini,maana mhh sio mchezo.