Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 811
Katika hali ya kushangaza jana katika gazeti la Raia Tanzania limeripoti kuondolewa kwa List of Shame katika tovuti ya Chama cha Demekrasia na Maendeleo CHADEMA.
Chama hiki kilichojijengea heshima kwa wanaanchi kwa ajenda yao kubwa juu ya kupambana mafisadi na wahujumu uchumi nchini sasa kimeweka kando ajanda hiyo ambayo iliasisiwa na aliyekuwa Katibu mkuu wa chama hicho Dr. Slaa.