List of shame yaondolewa kwenye tovuti ya CHADEMA

Duh ndugu huwapendi hawa ndugu zetu, wakifanya hivyo si watakuwa wamejichinja wenyewe, itawaumiza kabisa na credibility yao itaanguka .

Dawa uliyobaki chadema ni chama , kufanya kikao muhimilu na kufanya maamuzi magumu sana tena sana.

Wafanye total revamping ya chadema, walete Damu Mpya kabisa, mbowe astaafu, Lissu nae kwenye hili kapoteza uaminifu wa chama, nae awe kiongozi wa kati tuu na asipewe fursa ya kupeperusha bendera.

Huu ni wakati wa ajina Mnyika, Salum na vijana wengine. Uongozi uondoke Kilimanjaro, Arusha na Manyara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Malumumba, Lowasa mshampokea, wazungu wanasema "...the show is now over......."
Sasa angalieni jinsi mnavyoweza kumsafisha ili.miwe na ukakasi na muwe na 'NGUVU' ya kuwatumia yeye na aliyemsindikiza (Rostam) katika kutatua yale yaliyowakwamia, kama makinikia, korosho etc.
Ama sivyo furaha yenu itakuwa ya kwenye kutoa meno tu ambayo inachekesha kama ya wachawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom