List of shame yaondolewa kwenye tovuti ya CHADEMA

Kama huna cha kupost bora ukae kimya !
Kama gazeti lilikwisha ripoti , humu unatuletea ili iweje ?
Kama unajidanganya utatubadili wa mabadiliko umekwama !
Hiyo list iwepo kwenye web ya Cdm ama isiwepo, kura zetu hatumpi Makomeo!

ww kilaza kweli. Sema hutampa usizisemee nafsi za wengne.
 
Hapo ndo ilipofika CDM alafu eti aanajinasibu wanataka mabadiliko ..mabadiliko hayaletwi na watu ambao wenyewe wameshindwa kubadilika, kwamba Lowassa anabadilika tabia, hivi mtu aliyezoea kula nyama za watu naweza akaacha?
Rweye: hujawaelewa. Hata kwa ishara za mabadiliko kwenye kaulimbiu yao (Lowasa mabadiliko: mabadiliko Lowasa) mabadiliko yamekwisha fanyika ndani ya chama. Kwa sasa CHADEMA inaongozwa, kama siyo kuburutwa na mamluki (waliotemwa) na CCM. Waasisi wametoswa, na wengine ndiyo hivyo wamefunga midomo yao.

Anajitambua, TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Last edited by a moderator:
usikosee ukamuuliza mbowe kuhusu neno fisadi: atakuambia ni neno gumu sana halipo kwenye dictionary za lugha zote hapa duniani na hata mbinguni..

Chadema Chama cha mafisadi, lowasa fisadi, Sumaye fisadi , masha fisadi, Rostam mfadhili wao wa kampeni fisadi, Mbowe fisadi.

Mwaka huu watajuta kuacha ajenda yao ya ufisadi na kukumbatia mafisadi papa.

Magufuli.

Chagua Magufuli.

Hapa kazi tu.
 
Huyu aloleta uzi huu naye ndo walewale....kwani hiyo list ulitaka iendelee kuwepo hadi lini? Upo wakati unahitaji kuweka mambo mapya na wakati wenyewe ni huu....tunaongeza taarifa mpya so zile za zamani tunaziondoa
 
Dupe

baada ya okt 25 watakua hawana agenda watasambaratika. kwa sasa agenda ya cdm ni kumuingiza edo ikulu baada ya kumpa chake dj mbowe.
 
Last edited by a moderator:
Huyu aloleta uzi huu naye ndo walewale....kwani hiyo list ulitaka iendelee kuwepo hadi lini? Upo wakati unahitaji kuweka mambo mapya na wakati wenyewe ni huu....tunaongeza taarifa mpya so zile za zamani tunaziondoa

Hiyo ni list ambayo iliipa chama umaarufu na kukifanya chama kikuu cha upinzani, by the way ni msimamo wa chama katika kupinga tatizo la Ufisadi asa kwann itolewe
 
Huyu aloleta uzi huu naye ndo walewale....kwani hiyo list ulitaka iendelee kuwepo hadi lini? Upo wakati unahitaji kuweka mambo mapya na wakati wenyewe ni huu....tunaongeza taarifa mpya so zile za zamani tunaziondoa

Wewe ndo wale wale.
Huelewi kuwa list of shame inayomtaja mgombea wa chama kuwa fisadi aliyekubuhu haiwezi kubaki kwenye tovuti ya chama?
Ha ha ha.
Mahabazzz midomo imeponza watu.
 
Kama huna cha kupost bora ukae kimya !
Kama gazeti lilikwisha ripoti , humu unatuletea ili iweje ?
Kama unajidanganya utatubadili wa mabadiliko umekwama !
Hiyo list iwepo kwenye web ya Cdm ama isiwepo, kura zetu hatumpi Makomeo!

Mbona hataki kura yako, ili mjulikane irahisishe kuwashughulikia. Na hataki 100% yeye anataka 78% we piga huko huko
 
Back
Top Bottom