List of shame yaondolewa kwenye tovuti ya CHADEMA

Ni utaratibu wa kawaida kuupdate website kila inapohitajika kufanya ivyo
 
Ukweli upi hivi hiyo list of shame wamo kwenye tovuti ya takukuru kwamba ni washukuwa na wanakesi za kujibu na hata hao chadema walifanya makosa kuweka kwenye tovuti yao isipokuwa iliwasaidia kuwapiga kick kisisasa.
 
Kama huna cha kupost bora ukae kimya !
Kama gazeti lilikwisha ripoti , humu unatuletea ili iweje ?
Kama unajidanganya utatubadili wa mabadiliko umekwama !
Hiyo list iwepo kwenye web ya Cdm ama isiwepo, kura zetu hatumpi Makomeo!

Na Wala Sisi Wana CCM Hatuhitaji Mpumbavu Na Lofa Wa Aina Yako Mumpigie Kura Dr. Magufuli Kwani Wana CCM Wote Milioni 18 Plus Nchi Nzima TUNATOSHA. Acheni Kujipendekeza Kwa Sisi Wana CCM.
 
siku hizi jf imekuwa hovyo kama fb....enzi najiunga hapa kina fulani walikuwa na hoja za mashiko...nyuzi zenye data sio udaku lakini siku hizi...:bange:
 
Ndio...,wameamua kukumbatia mafisadi na ufisadi..wataondoa mengi tu.

kama mna uzalendo na nchi (kama siyo fitina na kutapata...) naomba mueleze kwa makini katika ile orodha Mh.Lowassa alikuwa wangapi? na kwanini mnazungumzia EL peke yake.? Nafikiri katika watu wanaostahili kuwa rais ni EL kwani si maskini kama makufuri ambae akiingia huko kwanza arekebishe maisha ndo afikirie wananchi..tumekoma kuchagua maskini...
 
lazima vijana wateke ofisi ;

kwa huu upuuuuzi. Mtabana lakini ofisi itatwekwa na itawekwa chini ya ulinzi.


aksante ; tumaini makene kwa kujitambua

kweli lipumba nafsi ingekusuta kwa hili; ulijua mapema; wewe ni kazi tu


uongelea nini wewe?
 
Naona maCCM hayana pa kushika kila kitu hata kiwe cha kipuuzi wao no habari na kwa fikra mfu wanafikiri zinawasaidia kumbe ndio kwanza zinawashusha kwani wanajikuta wanainadi zaidi UKAWA na Lowasa kuliko mgombea wao Magufuli
 
Chadema Chama cha mafisadi, lowasa fisadi, Sumaye fisadi , masha fisadi, Rostam mfadhili wao wa kampeni fisadi, Mbowe fisadi.

Mwaka huu watajuta kuacha ajenda yao ya ufisadi na kukumbatia mafisadi papa.





Magufuli.

Chagua Magufuli.

Hapa kazi tu.


Chenge?
Tibaijuka?
Riz One?
Lukuvi?
 
Fedha ni kitu kizuri ila kikitumika vibaya kinakua kibaya sana. Ni aibu kubwa kwa CDM kilichojijengea imani kwa wananchi kutokana na ajenda yao kubwa ya ufisadi kwa miaka 10 iliyo pita. Ila kutokana na wanaharakati wengine kua na njaa na tamaa kama za fisi, wameamua kukiuza chama na hawaruhusiwi tena kufungua mdomo na kusema neno fisadi maana alienunua chama ndo mwenye maamuzi yote. Kama mtayumbishwa hivyo na bepari mmoja, mkishika dola si atawaambia mumbebe na hamtakaa maana mtalala njaa.

Nimeamini huwezi kuwa mwanaharakati kama una njaa.
 
Kama huna cha kupost bora ukae kimya !
Kama gazeti lilikwisha ripoti , humu unatuletea ili iweje ?
Kama unajidanganya utatubadili wa mabadiliko umekwama !
Hiyo list iwepo kwenye web ya Cdm ama isiwepo, kura zetu hatumpi Makomeo!

Policies change but all over the world,policies of fighting corruption never changes, Chadema will enter the Guineas Book of records as the first political party to do so. MTU mwenye akili timamu habadilishwi anajibadilisha mwenyewe anapoona wale aliokuwa anawaamini wameanza kubadili kubadilsha mwendo na kutofautiana na misingi ya chama.
 
ushauri wangu kwa ccm kazi mliyoapa hawa makuwadi wenu imewshinda "mimi sijui ni kwa nini watanzania ni masini" Kikwekwe aliwajibu waandishi wa habari UFARANSA
 
wazee wa website hawana lolote chama kimejaa mafisadi yakiongozwa na lowasa na sumaye,ngoja magufuli achukue nchi awasafishe
 
Kupanga vikosi vya vurugu ni dalili tosha ya kushindwa kwa chama chao, lengo la vurugu hizo ni kutaka kuanzishwa kwa serikali mseto kama ilivyotekea nchini Kenya

Tunaomba vyombo vya ulinzi na usalama viimarishe ulinzi wetu, viongozi wa vurugu hizo hawatoathirika kwa namna yoyote ile. Ushindi wa CCM utakuwa wa halali na watakaoshindwa wakubali tu kuwa watashindwa kihalali, hakuna haja ya kulazimisha vurugu
 
wanayoiita ilani ya chama chao haina hata mpango wa kujenga chuo kikuu wala hospitali kubwa, wanataka tuwe na taifa lisilo na elimu ya juu wala afya imara halafu hayo ndiyo wayaitayo mabadiliko.

Ilani ndiyo mkataba wa utekelezaji wa serikali kwa wananchi, kwa ilani hii mbovu lazima tuwatose kwenye uchaguzi. Nendeni mkajifunze kwenye ilani ya CCM anayomkabidhi kila mgombea wa ubunge kwenye majimbo anayotembelea
 
Sijui Lema,Tundu Lissu,Halima Mdee,Mbowe,wanakaaje na Lowasa kweli maisha bila unafiki hayaendi,Lema mkutano wako Arumeru kumnadi Nassari ulituambia "Ni haki mbele za Mungu kumsema fisadi"leo mme kuwa wa kwanza kumpokea,siendeshwi tena na chama kisicho na uelekeo na misimamo,mlipigania harakati kwa kumwaga damu zisizokuwa na hatia kutetea wanyonge leo wanyonyaji wamekuwa viongozi wenu,nabaki na msimamo wa kutoyumbishwa kama Nyumbu.
 
kama mna uzalendo na nchi (kama siyo fitina na kutapata...) naomba mueleze kwa makini katika ile orodha Mh.Lowassa alikuwa wangapi? na kwanini mnazungumzia EL peke yake.? Nafikiri katika watu wanaostahili kuwa rais ni EL kwani si maskini kama makufuri ambae akiingia huko kwanza arekebishe maisha ndo afikirie wananchi..tumekoma kuchagua maskini...
kwa sababu anataka kuwa rais wetu na ni mwizi.
 
Hapo ndo ilipofika CDM alafu eti aanajinasibu wanataka mabadiliko ..mabadiliko hayaletwi na watu ambao wenyewe wameshindwa kubadilika, kwamba Lowassa anabadilika tabia, hivi mtu aliyezoea kula nyama za watu naweza akaacha?
Kwaiyo tuchague chama gani?
 
Back
Top Bottom