List of shame yaondolewa kwenye tovuti ya CHADEMA

Dupe

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
1,668
811
Katika hali ya kushangaza jana katika gazeti la Raia Tanzania limeripoti kuondolewa kwa List of Shame katika tovuti ya Chama cha Demekrasia na Maendeleo CHADEMA.

Chama hiki kilichojijengea heshima kwa wanaanchi kwa ajenda yao kubwa juu ya kupambana mafisadi na wahujumu uchumi nchini sasa kimeweka kando ajanda hiyo ambayo iliasisiwa na aliyekuwa Katibu mkuu wa chama hicho Dr. Slaa.

attachment.php
 

Attachments

  • 1442051644090.jpg
    1442051644090.jpg
    49 KB · Views: 7,062
Kama huna cha kupost bora ukae kimya !
Kama gazeti lilikwisha ripoti , humu unatuletea ili iweje ?
Kama unajidanganya utatubadili wa mabadiliko umekwama !
Hiyo list iwepo kwenye web ya Cdm ama isiwepo, kura zetu hatumpi Makomeo!
 
hawajielewi????????????????

mawaziri wakuu 2 vs waziri wa ujenzi ;

jasho mpk la kwenywe meno.

msukuma akamilisha deni la 30 milioni KWA KUCHANGIWA NA WANANNCHI walizopewa kuamia u.kawa.

sasa huru kwa kampeni za CCM ; EL KARUDISHIWA CHAKE 30 MIL
 
Kama huna cha kupost bora ukae kimya !
Kama gazeti lilikwisha ripoti , humu unatuletea ili iweje ?
Kama unajidanganya utatubadili wa mabadiliko umekwama !
Hiyo list iwepo kwenye web ya Cdm ama isiwepo, kura zetu hatumpi Makomeo!

Mkuu mbona kama umeumia sana…!! Kwan ndio kwanza mimi apa jamvini naleta habari ambazo zimeripotiwa na gazeti…'!! Hatuwez kubisha… ni ufisadi na rushwa ndivo vimetufanya tufike hapa tulipo
 
Chadema Chama cha mafisadi, lowasa fisadi, Sumaye fisadi , masha fisadi, Rostam mfadhili wao wa kampeni fisadi, Mbowe fisadi.

Mwaka huu watajuta kuacha ajenda yao ya ufisadi na kukumbatia mafisadi papa.





Magufuli.

Chagua Magufuli.

Hapa kazi tu.
 
Kama wanasema Lowasa ni msafi zilikua tuhuma za uzushi tu kumbe Miaka yote walikuwa wanasingizia watu
 
Nadhani wameenda kuirekebishs kidogo kuliondoa jina la mgombea wao au ndo mwisho wa kupambana na ufisadi kwa chada
 
lazima vijana wateke ofisi ;

kwa huu upuuuuzi. Mtabana lakini ofisi itatwekwa na itawekwa chini ya ulinzi.


aksante ; tumaini makene kwa kujitambua

kweli lipumba nafsi ingekusuta kwa hili; ulijua mapema; wewe ni kazi tu
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom