List of Mtaani Most Wanted

List of Mtaani Most Wanted

kuongozana inategemea na uelekeo..
like you kipindi unaongozana na utafiti kuelekea marukeni guest house.
bado unataka niseme ni urafiki wa kawaida?
urafiki wa kawaida kupiga story guest?

Jamani mbona hivyooo?Ni nini unachonitafuta jamani?
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbona hivyooo?Ni nini unachonitafuta jamani?

nakutafutaje wakati we mwenyewe ndiyo umesema, mimi siwezi kutofautisha rafiki wa kawaida na wakimapenzi?
nimeweka tofauti unaanza kulalama tena!!
 
nakutafutaje wakati we mwenyewe ndiyo umesema, mimi siwezi kutofautisha rafiki wa kawaida na wakimapenzi?
nimeweka tofauti unaanza kulalama tena!!

Haya bwana mie ngoja nikubali nikuridhishe ila najua hakuna kitu kama hicho.Hizo ni siasa zako tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom