List of Mtaani Most Wanted

List of Mtaani Most Wanted

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
Kizazi Kipyaaaa...
Most Wanted!!
Kina ODM always wanasalveti..

Wengine siyo wapya saaana...but less occupied!!
Sitangazi fursa lakini..
Let me intoduce..

Mafikizolo kutaja jina lako tu ni raha...

kan'tangaze! oops..kuna men kumention jina lako wanaona soo, at first i faced this problem...

mamaafacebook...itabidi uchenchi sasa to mamaajf..

MankaM somehow old but still less occupied.. kabanga ndugu yangu usiseme tena kama sijakueleza hili..chance hii

Tumboo najua First Born anasababu nyingi na wewe regardless ndani kamweka romantic eyes..

i'm happy to see u foramuni..

buddies Heaven on Earth, mwallu mwaka unakata.. mbuzi analiwa wapi?

Mashemeji miss neddy, Khantwe, 'Valentina' Honey Faith (hivi anaye husika na wewe ni Rogie ama utafiti?)...
Mke wangu Mpenzi ( shansarie) anawakaribisha kwenye party yake ya birthday next month...

Don't take this as Udaku!!
teh teh..
 
Last edited by a moderator:
Sasa kipi kigumu kuntaja mwenyewe in da build bibie kan wa kan'tangaze mieeee.
 
Last edited by a moderator:
Hahaa sababu zip izo kiwatengu embu nidadavulie kidogo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom