Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Ahaha ndo haiwezekani tena mie nshafungasha virago vyangu
Sio vizuri jamani bibi yangu kumbuka ndo iheshimiwe na watu wote
Ahaha ndo haiwezekani tena mie nshafungasha virago vyangu
Sio vizuri jamani bibi yangu kumbuka ndo iheshimiwe na watu wote
cc Mafikizolo kaaaaazi ni kwako sasa.
mamaafacebook umeachia ngazi? Mi nataka kurudisha majeshi hapa kwa babu
mamaafacebook umeachia ngazi? Mi nataka kurudisha majeshi hapa kwa babu
Bora umerudi mpenzi wa ujana wangu
cc mamaafacebook Mafikizolo
Mtajiju nimerudi njia kuu kwa llllaaaahhhhaaa zanguuu
Namsubiri aje anijibu
Bora umerudi mpenzi wa ujana wangu
cc mamaafacebook Mafikizolo
Mtajiju nimerudi njia kuu kwa llllaaaahhhhaaa zanguuu
Hahahahha kweli kwako kharamu kwa mwenzio halali kabisaaa naona umepata Mr Right lol
Weeee rudi tuuu , we know you inn and out hahah nothing so special with you at all hahah
cc mamaafacebook
Namsubiri aje anijibu
Zimwi likujualo....mi nlikuwa nawaangalia tu hatimaye amerudi nyumbani
Kaka yako kantelekeza niendelee kuteseka na upweke mpaka lini?
Sio vizuri jamani bibi yangu kumbuka ndo iheshimiwe na watu wote
mamaafacebook umeachia ngazi? Mi nataka kurudisha majeshi hapa kwa babu
Khantwe as u wishBora umerudi mpenzi wa ujana wangu
cc mamaafacebook Mafikizolo
Mtajiju nimerudi njia kuu kwa llllaaaahhhhaaa zanguuu
Ata sikutakie tena babu weye unamambo mengi kaa maji
Huyo hafai, ni wakumuweka kapuni tu