Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Last edited by a moderator:
Hapo unataka mkumvulia Asprin kirahisi tu..
mmh..utani kwenye kuvuana?
nauweza mimi tu!!
mi huwa natania tu
ni kweli mkuu, sema ndoa yetu iko imara sana..
na tunapendana sana..
Aisee..ujue mapenzi ni matamu sana
nimeelewa kidogo shem nkawa nakutafuta unitafsirie vingine sijaelewa hapa nilipo na nyumbani nishaondoka simuelewi kabisa huyu kiwatengu sijui kasahau kuwa keshaoaNaona mnajitengenezea mazingira ya kuchepuka hivi shansarie ushajua nini kinaendelea hapa baina ya miss chagga na kiwatengu