List of Mtaani Most Wanted

List of Mtaani Most Wanted

Wifiyo Ana mikwara tu...! Nisipoonekana humu chitchat basi yeye anajisikia mpweke...!

Miss neddy Huyu itabidi tumuite falagha atuambie yeye mwenyewe ukweli.....!

Aaaah kumbe hiyo yote ni kwasababu anakuwaga anakumiss?Ok poa itabidi tufanye hivyo maana mie nashindwa kuelewa na nimewauliza waume zake hakuna hata moja alienijibu
 
Wewe tatizo usione mtu anasalimiana na mtu au wanaongozana basi unajua ni wapenzi

kuongozana inategemea na uelekeo..
like you kipindi unaongozana na utafiti kuelekea marukeni guest house.
bado unataka niseme ni urafiki wa kawaida?
urafiki wa kawaida kupiga story guest?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom