List of Mtaani Most Wanted

List of Mtaani Most Wanted

nimeelewa kidogo shem nkawa nakutafuta unitafsirie vingine sijaelewa hapa nilipo na nyumbani nishaondoka simuelewi kabisa huyu kiwatengu sijui kasahau kuwa keshaoa
nimemwachia nafasi miss chagga ajiachie

Sweetie sasa mpaka uwaambie watu kuwa umeondoka..
Please baby!!
 
Last edited by a moderator:
kununa tu hata hamu ya kula sina
We ndiyo mpenzi wangu nikupendae...
we endelea nami ntatafuta wangu humu
babylove kulipiza is the most worse thing in life...
ntakutafuta ngosha sasa ndo naona faida yakuwa na kidumu hizi presha wala zisingenisumbua
mpenzi..nakupenda, angalia tu usilete ukimwi nyumbani...
uko wapi nije maana yananishinda
yanakushindaje? Kwani umesahau kuwa wewe tu ndiye mwenye codes za kifanyio changu? 😡
sijui matumizi au nanyimwa maana nikiomba sipewi kumbe wewe ndo mlaji sasa atanitambua
mpenzi wangu nikupendae haya maisha ya malipizi usiyaanze, ni mabaya sana..pata uvumilivu tu kama mwanzo..
I LOVE YOU more than much!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom