List of Mtaani Most Wanted

List of Mtaani Most Wanted

Shikamoo kaka yangu mpendwa.Nimekumiss sana kaka yangu

Marahaba dada yangu mpendwa, mzima wewe?

Ata Mimi dada nimekumiss sn....! Wapi mwallu na miss neddy na Heaven Sent ???? Sijakutana na Hawa dada zangu kitambo sn..!

Mkiwa mnakutana na wifi yenu Khantwe muwe mnamuimbia wimbo wa John Ligend uitwao All of Me....hapo ugonjwa wake utatulia.....!
 
Last edited by a moderator:

Heaven na mwallu sijawaona siku nyingi sana sijui hata wanaendeleaje.Neddy yupo sema simuelewi nani mme wake halali hebu nisaidie ni nani mume wake halali.
Huyo wifi nae mbona anasema umemtelekeza?
 
Wifiyo Ana mikwara tu...! Nisipoonekana humu chitchat basi yeye anajisikia mpweke...!

Miss neddy Huyu itabidi tumuite falagha atuambie yeye mwenyewe ukweli.....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom