na uniwacchie mtu wangu hata kama ni mchovu ni wangu tu
hee kwani we ndo mmiliki?
We ulijuaje?
Mbona sikuoni?am here already
Swithat, Hivi leo tumeamkuana?
Tumeamkiana bwana umeshasahau?
Penzi lako limenilevya. Usirudie tena leo usiku utaniua my love.
Utazoea swthat leo umelewa kwa sababu ulikuwa likizo kidogo
Hi honey..!
Ata Mimi penzi lako limenilevya Yani mpk kwenda kwa job nimeshindwa...!
Nakutania mupenzi wane...!
nani mwenye ndoa halali kati ya romantic eyes na janeth1?
Thanx honey...!! Luv u....