Cumudia
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 505
- 843
Wanaweza isaidiaje nchi kwa mfumo huu wa nchi hii pia wanaiangamizaje ebu nitoe gizani?Hakuna mtu ananunuliwa. Sina shaka na uwezo wao Kama viongozi ila bado wanahitaji kutumia uwezo huo kuisaidia nchi badala ya kuiangamiza. Wanahitaji kuwa wazalendo zaidi
Istoshe wote ni wazalendo hakuna asiye mzalendo kati yao