jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,062
- 28,252
Na Mange..
Sikuhizi medulla oblangata ya chama kaachiwa lissu ....

Moyo wako umewataja, lkn aibu inakufanya utawanyike wakiguswa...Kamati imewataja?
Kwa hiyo?Tundu Lissu, tambua unaishi katika Taifa la watu ambao wengi wao wanaamini uzalendo ni kusubiri Raisi aseme nini na wao kisha wamuunge mkono.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini kuhoji au kukosoa anachosema Raisi si uzalendo.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengu wanaamini ukiona jambo halija kaa sawa si busara kulisema au kulihoji mpaka kwanza Raisi wa nchi ahoji au alianzishe.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo,mawazo ya wapinzani si chochote mpaka mawazo hayo yatolewe na Raisi,CCM au kamati za kiuchunguzi zilizoundwa na Raisi.
Lisssu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini hata mapendekezo ya kamati za kiuchunguzi zinazoundwa na mtu mwenye wadhifa wa uraisi, mapendekezo hayo yanakuwa na maana tu iwapo Raisi atayakubali mapendekezo hayo.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo ni uzalendo kusubiri Raisi tu aanzishe jambo na si wapinzani au mtu mwingne yoyote.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo si uzalendo kwa vyombo vya habari kutoa support kwa mawazo mazuri ya wapinzani ila ni uzalando tu kwa vyombo vya habari kutoa support kubwa kwa yale anayoyasema au kuyaanzisha Raisi.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini wapinzani hawajakomaa ila waliokomaa ni wale wanaondesha nchi inayoporwa na wawekezaji kila kukicha.
Lissu,tambua unaishi katika nchi ambayo watu wengi wanaamini kuhoji busara au maamuzi ya Raisi ni kukosa heshima.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini si uzalendo kutambua mchango wa wapinzani bali ni uzalendo tu kutambua mchango wa Raisi na chama chake.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wenhi wanaamini si uzalendo na pia ni kukosa adabu kuwakumbusha watawala kuwa ni wao wametufikisha hapa kama nchi bali ni uzalendo kuwapigia makofi pale wanapojaribu kujirekebisha hata kabla hawajaanza kujirekebisha.
Tundu Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini Raisi akitoa ahadhi kila mtu anapaswa kushangilia hata kabla ahadi hiyo haijaanza kutekelezwa na usipofanya hivyo wewe si mzalendo.
Mwisho,tambua kuwa unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini chama tawala tu ndio chama chenye watu wastaarabu na wenye busara na ambao ndio wanaofaa kuongoza hii nchi na wapinzani ni watu wahuniwahuni tu,wapiga dili na wasio na uwezo wa kuongoza nchi.
Lissu,nakutahadharisha utambue mapema kabisa kuwa,katika Taifa la watu wa aina hii,usishangae zikaibuka hoja za kutaka kumtunukia Mkulu nishani ya kulinda za maliasili za nchi hii wakati wewe uliekaa jela ukipinga mikataba na sheria zilizotufikisha hapa ukipigwa vita na kuitwa msaliti.
Hivyo,ndugu yangu Lissu ueleww utapata shida sana kuishi katika nchi hii kwasababu huu ndio mtazamo wa wengi katika hii nchi japo si wa kila mtanzania.
Nina mashaka sana na IQ ya walio wengi katika hii nchi kuanzia wasomi na wasio wasomi.
Sometime huwa nahisi huenda ulipaswa kuzaliwa katika nchi za wenzetu ambako huenda ungeweza kupata recognition lakini ni bahati mbaya umezaliwa katika nchi yetu.
Huyo unaemtaja sijawahi kumsikia.Rais yupi uyo? Au uyu alienunua kivuko kibovu? Bado zamu yake,lazima tuwanyooshe wezi wote.
Huyo unaemtaja sijawahi kumsikia.
Naona umepaniki mkuu...Mwenyekiti wako alionga nyumba za serikali kwa hawara wake,kwanza inawezekana ni wewe uliongwa au ni mama yako.
Naona umepaniki mkuu...
Ujinga unaanza kumwagika automatically
Maneno machache tu yanakutosha SS kuwa. Unaweza ukawa na point lakini ukakosema approach. Mfano wa muhubiri atoke kuwa anaenda kuhubiri mahali, kisha wale anaotaka kuwahubiri aanze kuwatukana kuwadharau na kuwafanyia kejeri, je unadhani mhubiri huyo atafanikiwa katika mahubiri yake?Tundu Lissu, tambua unaishi katika Taifa la watu ambao wengi wao wanaamini uzalendo ni kusubiri Raisi aseme nini na wao kisha wamuunge mkono.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini kuhoji au kukosoa anachosema Raisi si uzalendo.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengu wanaamini ukiona jambo halija kaa sawa si busara kulisema au kulihoji mpaka kwanza Raisi wa nchi ahoji au alianzishe.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo,mawazo ya wapinzani si chochote mpaka mawazo hayo yatolewe na Raisi,CCM au kamati za kiuchunguzi zilizoundwa na Raisi.
Lisssu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini hata mapendekezo ya kamati za kiuchunguzi zinazoundwa na mtu mwenye wadhifa wa uraisi, mapendekezo hayo yanakuwa na maana tu iwapo Raisi atayakubali mapendekezo hayo.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo ni uzalendo kusubiri Raisi tu aanzishe jambo na si wapinzani au mtu mwingne yoyote.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo si uzalendo kwa vyombo vya habari kutoa support kwa mawazo mazuri ya wapinzani ila ni uzalando tu kwa vyombo vya habari kutoa support kubwa kwa yale anayoyasema au kuyaanzisha Raisi.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini wapinzani hawajakomaa ila waliokomaa ni wale wanaondesha nchi inayoporwa na wawekezaji kila kukicha.
Lissu,tambua unaishi katika nchi ambayo watu wengi wanaamini kuhoji busara au maamuzi ya Raisi ni kukosa heshima.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini si uzalendo kutambua mchango wa wapinzani bali ni uzalendo tu kutambua mchango wa Raisi na chama chake.
Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wenhi wanaamini si uzalendo na pia ni kukosa adabu kuwakumbusha watawala kuwa ni wao wametufikisha hapa kama nchi bali ni uzalendo kuwapigia makofi pale wanapojaribu kujirekebisha hata kabla hawajaanza kujirekebisha.
Tundu Lissu,tambua unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini Raisi akitoa ahadhi kila mtu anapaswa kushangilia hata kabla ahadi hiyo haijaanza kutekelezwa na usipofanya hivyo wewe si mzalendo.
Mwisho,tambua kuwa unaishi katika Taifa ambalo watu wengi wanaamini chama tawala tu ndio chama chenye watu wastaarabu na wenye busara na ambao ndio wanaofaa kuongoza hii nchi na wapinzani ni watu wahuniwahuni tu,wapiga dili na wasio na uwezo wa kuongoza nchi.
Lissu,nakutahadharisha utambue mapema kabisa kuwa,katika Taifa la watu wa aina hii,usishangae zikaibuka hoja za kutaka kumtunukia Mkulu nishani ya kulinda za maliasili za nchi hii wakati wewe uliekaa jela ukipinga mikataba na sheria zilizotufikisha hapa ukipigwa vita na kuitwa msaliti.
Hivyo,ndugu yangu Lissu ueleww utapata shida sana kuishi katika nchi hii kwasababu huu ndio mtazamo wa wengi katika hii nchi japo si wa kila mtanzania.
Nina mashaka sana na IQ ya walio wengi katika hii nchi kuanzia wasomi na wasio wasomi.
Sometime huwa nahisi huenda ulipaswa kuzaliwa katika nchi za wenzetu ambako huenda ungeweza kupata recognition lakini ni bahati mbaya umezaliwa katika nchi yetu.
Rais yupi uyo? Au uyu alienunua kivuko kibovu? Bado zamu yake,lazima tuwanyooshe wezi wote.
ndio ulichobakiza kwenye medulla oblangata yakoMiaka ya nyuma chadema huku zitto, kule Slaa, mitandaoni vijana lukuki, kwingineko mnyika, ukigeuka kushoto mbowe...
Sikuhizi medulla oblangata ya chama kaachiwa lissu ...
Wengine wako katika hatia ya mabadiliko ya Gia angani...
Tundu lissu sio msalati tofauti tu ninamuna ya kuaproach hii inshu.Kama kawaida yako unahangaika sana. Tatizo lake ni kuwa yeye alitakiwa kuangalia maslahi ya nchi kwa vile ni President wa TLS. Alisema ripoti ni RUBBISH umesahau?
Unajaza server bure. Umaarufu wa kulazimisha mwisho Singida
Shetani ni yule alieifikisha nchi hii hapa ilipo.Chadema ni mbadala wa shetani hapa Tanzania
Kwani kabadilisha kauli? it is still rubbish! Muda ni mwalimu mzuri sanaKama kawaida yako unahangaika sana. Tatizo lake ni kuwa yeye alitakiwa kuangalia maslahi ya nchi kwa vile ni President wa TLS. Alisema ripoti ni RUBBISH umesahau?
Kwa Deo Mwanyika alikuwa anatafuta nini?Kwani kabadilisha kauli? it is still rubbish! Muda ni mwalimu mzuri sana
Bado una akili za kitoto kila akisemacho jpm we unaona sawa safiKwa Deo Mwanyika alikuwa anatafuta nini?
Tatizo ukiwagusa mawaziri wa staafu unakuwa unawasogeleaa walee tulio apa kuwalindaList imeandikwa kinyonge sana maana imejaribu kufanya sensorship ya mawaziri wakuu wastaafu ambao sasa ndio machampion wa chdm na walikuwa washauri wakuu na wa kinachotumbuliwa sasa.