Lissu tambua unaishi katika Taifa ambalo wengi wana mitazamo ya aina hii

Mzalendo Tundu Lissu, hoja zako ni mbolea inayoendelea kurutubisha ubongo wangu na taifa kwa ujumla.
 
Lissu hana jazba ila ni uchungu kwa kusema mara kadhaa watu hawasikii,wala kuelewa?(leo yeye anaonekana ndie alisaini mikataba na msaliti kwa kutoa option ya kustakiwa kwa mikataba tuliyokubaliana nayo?,wakati wanapinga na kutoka nje ya bunge hamkujua nini kitatokea mbele, na zzt kufukuzwa bungeni) ndio maana hata court inashindwa kumtia hatiani,mimi nasema ni "LISSU MTU ANAEJITAMBUA KWA KIASI KIKUBWA"
Yale kutaka kusafisha jitu lililo jaa matakataka!
 
Back
Top Bottom