Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Aombe msamaha kwa kosa lipi? Lisu is not mboweKuwa mstaarabu omba msamaha yesheee
Lissu huyu huyu aliyegoma kufa?Kuwa mstaarabu omba msamaha yesheee
Visiwani tuna lugha yetu mujarabuYesheee ni nini au Lugha ya CCM
Anamwomba msamaha nani na kwa nini acha ujinga huo ni udhaifu cy kila kitu kuomba msamaha no reforms no electionKuwa mstaarabu omba msamaha yesheee
Kafanya kosa gani kwani hadi aombe msamaha kwaniKuwa mstaarabu omba msamaha yesheee
Shetani anaombwa msamaha?Kuwa mstaarabu omba msamaha yesheee
Again prepare kuwa dissapointed, lissu si business man kwa mboweSitashangaa Lisu akiibukia Mjengoni mikono nyuma kama Mboe
Huna akili kabisa wewe aombe msamaha kwa nani na kwa kosa gani?Kuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele ni njaa tu
Pumbavu sana wewe! Jiwe alimpiga risasi, Bado Yuko hai, jiwe Yuko kuzimu!Kuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele ni njaa tu
Lugha ya majizi ya kuraYesheee ni nini au Lugha ya CCM
Huyu ni mjinga sana na ni mpumbavu! Lissu ni mtu wa kweli!Pumbavu sana wewe! Jiwe alimpiga risasi, Bado Yuko hai, jiwe Yuko kuzimu!