Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi

Katika magazeti ya leo nimeona Tundu Lisu kasema kapewa habari na kigogo moja ndani ya polisi kuwa Edward Lowassa atapandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uchochezi....

Katika nyanja za usalama hili halikubaliki kabisa na alichokifanya Lisu ni uchochezi wa wazi....

Wananchi tunaomba Lisu akamatwe na kisha aeleze kapataje taarifa hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema unaomba wewe.unatusemea wananchi tumekutuma?
 
Katika magazeti ya leo nimeona Tundu Lisu kasema kapewa habari na kigogo moja ndani ya polisi kuwa Edward Lowassa atapandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uchochezi....

Katika nyanja za usalama hili halikubaliki kabisa na alichokifanya Lisu ni uchochezi wa wazi....

Wananchi tunaomba Lisu akamatwe na kisha aeleze kapataje taarifa hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimsikiliza VIZURI kwenye hiyo CLIP ni kuwa Tundu LISU kafurahi sana LOwasa kupelekwa kizimbani na anampa mipasho ya wazi kuwa yeye waziri mkuu hana kinga hivyo kupelekwa kizimbani ni sahihi.nimeirudia hiyo clip anampelekea meseji lowasa kuwa jiandae kwenda kizimbani na huna ujanja kwani huna kinga.Lowasa ndie mshindani mkubwa wa LIsu ndani ya chadema.Hivyo lisu imempa raha kuwa mbaya wake anaelekea kizimbani
 
"Nimeambiwa leo na lipolisi kubwa kabisa kuwa jiandaeni Mhe. Lowassa atapelekwa mahakamani.... mtu pekee mwenye kinga dhidi ya mashtaka ya jinai ni JPM..."- Tundu Lissu

Kutawala kunahitaji busara hekima na kuwa na subira katika maamuzi, usisahau ya kuwa uko duniani na unaishi na binadamu
 
Ukimsikiliza VIZURI kwenye hiyo CLIP ni kuwa Tundu LISU kafurahi sana LOwasa kupelekwa kizimbani na anampa mipasho ya wazi kuwa yeye waziri mkuu hana kinga hivyo kupelekwa kizimbani ni sahihi.nimeirudia hiyo clip anampelekea meseji lowasa kuwa jiandae kwenda kizimbani na huna ujanja kwani huna kinga.Lowasa ndie mshindani mkubwa wa LIsu ndani ya chadema.Hivyo lisu imempa raha kuwa mbaya wake anaelekea kizimbani
Duuh.. Kweli wee utafiti wa Twaweza unakuhusu... Kafurahia kvp wakat ameeleza kile alichoelezwa na afisa wa polisi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh.. Kweli wee utafiti wa Twaweza unakuhusu... Kafurahia kvp wakat ameeleza kile alichoelezwa na afisa wa polisi???

Sent using Jamii Forums mobile app
Katumia polisi kama kifungua kusuta wewe hujawahi kutana na mtu anayetaka kukusuta huanza Na sentensi Kama eti watu wanakusema wewe bwege! Ukimwambia nionyeshe hao watu hakuonyeshi. Tundu lisu katumia polisi kama platform ya kumpa mipasho lowasa kuwa utaenda kizimbani tu wewe huna cha kinga wala nini. Lowasa na lisu wana bifu ndio maana hata siku lowasa akiingia chadema Lisu aliingia mitini
 
Katika magazeti ya leo nimeona Tundu Lisu kasema kapewa habari na kigogo moja ndani ya polisi kuwa Edward Lowassa atapandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uchochezi....

Katika nyanja za usalama hili halikubaliki kabisa na alichokifanya Lisu ni uchochezi wa wazi....

Wananchi tunaomba Lisu akamatwe na kisha aeleze kapataje taarifa hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani wewe umebakisha kidogo tu ufanane na MA DC mfano wa DC wa KINONDONI
kaugonjwa ka kusweka ndani wapambanaji naona kanakunyemelea.
tafuta tiba kabla hujadhurika
 
Katika magazeti ya leo nimeona Tundu Lisu kasema kapewa habari na kigogo moja ndani ya polisi kuwa Edward Lowassa atapandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uchochezi....

Katika nyanja za usalama hili halikubaliki kabisa na alichokifanya Lisu ni uchochezi wa wazi....

Wananchi tunaomba Lisu akamatwe na kisha aeleze kapataje taarifa hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni Mwananchi pia ila Sina mawazo kama ya kwako. Huo ni upu.mbavu! Kwani lazima akamatwe ili aseme ni nani aliemwambia? Mbona bado mna akili za kikoloni? Hopeless!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika magazeti ya leo nimeona Tundu Lisu kasema kapewa habari na kigogo moja ndani ya polisi kuwa Edward Lowassa atapandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uchochezi....

Katika nyanja za usalama hili halikubaliki kabisa na alichokifanya Lisu ni uchochezi wa wazi....

Wananchi tunaomba Lisu akamatwe na kisha aeleze kapataje taarifa hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
mjomba wake na magufuli yupo hazna ilibidi afungwe na sio lissu unayemwandama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika magazeti ya leo nimeona Tundu Lisu kasema kapewa habari na kigogo moja ndani ya polisi kuwa Edward Lowassa atapandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uchochezi....

Katika nyanja za usalama hili halikubaliki kabisa na alichokifanya Lisu ni uchochezi wa wazi....

Wananchi tunaomba Lisu akamatwe na kisha aeleze kapataje taarifa hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nisikujibu chochote, maana ninahisi ww ni Deogratius Kisandu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika magazeti ya leo nimeona Tundu Lisu kasema kapewa habari na kigogo moja ndani ya polisi kuwa Edward Lowassa atapandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uchochezi....

Katika nyanja za usalama hili halikubaliki kabisa na alichokifanya Lisu ni uchochezi wa wazi....

Wananchi tunaomba Lisu akamatwe na kisha aeleze kapataje taarifa hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
na akisema kapata kwa mkuu wao wa mapolisi utafanya nini
 
Katika magazeti ya leo nimeona Tundu Lisu kasema kapewa habari na kigogo moja ndani ya polisi kuwa Edward Lowassa atapandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uchochezi....

Katika nyanja za usalama hili halikubaliki kabisa na alichokifanya Lisu ni uchochezi wa wazi....

Wananchi tunaomba Lisu akamatwe na kisha aeleze kapataje taarifa hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha, do your homework my brother!! Siasa si uhasama - wewe tawala ila na wengine wapatie haki zao za kikatiba.
 
Katika magazeti ya leo nimeona Tundu Lisu kasema kapewa habari na kigogo moja ndani ya polisi kuwa Edward Lowassa atapandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uchochezi....

Katika nyanja za usalama hili halikubaliki kabisa na alichokifanya Lisu ni uchochezi wa wazi....

Wananchi tunaomba Lisu akamatwe na kisha aeleze kapataje taarifa hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lisu kawatega hapo atakamatwa alafu akiburuzwa mahakamani anaishinda Serikali then tunamlipa ghalama za kesi, mimi nimeshtukia Tundu Lisu kagundua namna ya kula pesa ya Serikali. Kuna taarifa kwamba karibu kesi zote tunazokurupuka kumpeleka mahakamni mwisho wa siku huwa tunamlipa pesa za kutosha, wenye kumbu kumbu waseme ni lini Tundu Lisu alipatikana na hatia japo mwanzo hata mimi huwa naona kama ana kesi ya kujibu. Tundu Lisu ionee huruma Serikali usiitege namna hii
 
Back
Top Bottom