Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi

Lissu sasa anaweza akageuziwa kibao na kusema ametoa maneno ya kichochezi na kuhatarisha "amani" kwa kudai kwamba "Lowassa atapelekwa mahakamani kwa uchochezi".

Tulipofikia sasa unaweza kutupwa ndani tu hata kama watoaji maagizo wanajua hakuna kesi. Ukishasota siku tano ndani, unatolewa na kupewa ki kesi uchwara ambacho mwisho wa siku kitakuja kufutwa tu.
 
Hivi ndivyo nchi inavyoendeshwa kwa sasa, inasikitisha sana.

Tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele.
 
Lowassa anatamani akamatwe kwa udi na uvumba. Kama kawaida yake anatumia VUVUZELA lake kuwasilisha mikakati yao ya kitoto.
Watanzania!!! Zinduka tafadhali zinduka huu ujinga Wa kuzani wanasiasa wanatupigania, ama wanatutatulia changamoto zetu pasipojiuliza changamoto zimeletwa na nani?? No hatari sana. Tunapaswa kuwapuuza wanasiasa kwani ndiyo wanufaika wakubwa kupitia mifumo mibovu, mfano tunaona mawaziri wakuu wawili ambao no sehemu ya hapa tulipo Leo hii wamekuja na harakati ya kutaka mabadiliko hovyo kabisa Kisa kukatwa kwenye orodha ya wagombea!! Hivi wanamdanganya nani?
 
Back
Top Bottom