Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi

serikali yetu badala ya kushughulika na matatizo ya watu inashughulika na watu. jpm kadanganya watumishi wa umma kwamba mwezi july atatoa increment napromotion. leo waandamizi wake wakiulizwa wanapiga chenga. kwa kweli ni hatari sana.....
 
Kwa wenye akili za kuona mbali hii ni kutafuta kiki. Anataka ikitokea kuwa Lowassa hakukamatwa aseme kuwa ile caution yake imefanya polisi kugwaya kumkamata. Na akikamatwa kweli aseme kuwa ni kweli alishasema. NINA UHAKIKA huyu mtafuta kiki Lissu hata siku moja hatamtaja kwa ushahidi hili LIPOLISI analoliongelea. Hizi kiki watanzania tushazizoea imebaki kumshangaa Lissu kama anadhani sisi hatujitambui??????????? TUNAJITAMBUA na tuna uwezo wa kuchanganua mchele na chuya. Pole sana Lissu.
Hv sizonje na kile kizombi chenu sijui kizee sijui kijana walishawahi mtaja yule aliyetaka muhonga mtukufu milioni mia tatu?!
Pole sana mwana Lumumba
 
Katika magazeti ya leo nimeona Tundu Lisu kasema kapewa habari na kigogo moja ndani ya polisi kuwa Edward Lowassa atapandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uchochezi....

Katika nyanja za usalama hili halikubaliki kabisa na alichokifanya Lisu ni uchochezi wa wazi....

Wananchi tunaomba Lisu akamatwe na kisha aeleze kapataje taarifa hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona taifa linazidi kukumbatia jamii za watu wajinga kama wewe ilihali dunia inasonga mbele?
 
Wewe nawe ukamatwe na kuhojiwa, wananchi umekutana nao wapi mkakubaliana jambo hilo? huu ni uchochezi kwa kuwasingizia wananchi kumbe ni wewe na mumeo/mkeo muliozungumza jambo hilo.
 
Katika magazeti ya leo nimeona Tundu Lisu kasema kapewa habari na kigogo moja ndani ya polisi kuwa Edward Lowassa atapandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uchochezi....

Katika nyanja za usalama hili halikubaliki kabisa na alichokifanya Lisu ni uchochezi wa wazi....

Wananchi tunaomba Lisu akamatwe na kisha aeleze kapataje taarifa hizo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unanyemelea uteuzi!
 
Wananchi?
 
wausika wakuu hawajakanusha kuwa hawana mpango wa kumkamata Lowassa kwahiyo habari ni ya ukweli hakuna uchochezi case closed
 
Mbona taifa linazidi kukumbatia jamii za watu wajinga kama wewe ilihali dunia inasonga mbele?
Hoja ni juu ya alichokisema lissu na kumuhusisha kigogo wa polisi....kama kigogo wa polisi anavujisha siri za kiuchunguzi kuna tatizo.

sasa mjinga zaidi ni wewe usiyejibu hoja.
 
Back
Top Bottom