Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi

dah inauma sana kunyanyasa watu kisa wapinzani..

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Unavyoona nani mpinzani hapo hao ni wapingaji kamanda sio wapinzani. Wapinzani huwa wana sera mbadala ya chama tawala. Ambazo zina akili. Sio hawa ambao wana sera ya kupinga makanikia kuzuiwa bandarini. Sera ya kuua na kuzika ajenda za ufisadi. Sera ya kutetea wafanyabiashara wanaokwepa kodi.duh....na mengi mengikama kukumbatia na kuwasafisha mafisadi
 
Back
Top Bottom