Mashabiki wa Simba na lawama dhidi ya Kayoko

canfi

JF-Expert Member
Jun 26, 2022
1,240
1,279
Lawama za mashabiki wa Simba dhidi ya Kayoko zimenifikirisha sana. Wamelalamika na kupiga kelele wakisahau kuwa wao ndio wanufaika wakubwa wa makosa ya waamuzi kwa msimu huu. Mashabiki wengi wa Simba wamejaa mihemko tu. Wanapenda kubebwa tu.

Ngao ya jamii walibebwa, mechi dhidi ya Prinsons na hata ile na Singida walibebwa. Mapinduzi cup walipewa kona ya uongo iliyowavusha kuingia fainali. Wapinzani walipolalamila, wao walitoa maneno ya kejeri kama vile 'nendeni mkashitaki polisi, ukibebwa bebeka, nk'.

Nimewaza sana. Wanajiona wako special sana. Jengeni timu na mjifunze kuwa na vifua pale mambo yanapoenda tofauti. Pia mnapojadili hoja jaribuni kuongea kwa kushirikisha senses
 
Wamesahau ile mbeleko waliyopewa na refa kule zanzibar kwenye mapinduzi cup dhidi ya singida.
 
Tumewachoka na nyie vyura...kila chura akianzisha thread si itakua bwawa humu...
 
Yanalalamika nin kwan hayo mambumbumbu kwani wale washambuliaji hatari Papaa Omary wa Njombe na Fredy Kulwa ni majeruhi?
 
Lawama za mashabiki wa Simba dhidi ya Kayoko zimenifikirisha sana. Wamelalamika na kupiga kelele wakisahau kuwa wao ndio wanufaika wakubwa wa makosa ya waamuzi kwa msimu huu. Mashabiki wengi wa Simba wamejaa mihemko tu. Wanapenda kubebwa tu.

Ngao ya jamii walibebwa, mechi dhidi ya Prinsons na hata ile na Singida walibebwa. Mapinduzi cup walipewa kona ya uongo iliyowavusha kuingia fainali. Wapinzani walipolalamila, wao walitoa maneno ya kejeri kama vile 'nendeni mkashitaki polisi, ukibebwa bebeka, nk'.

Nimewaza sana. Wanajiona wako special sana. Jengeni timu na mjifunze kuwa na vifua pale mambo yanapoenda tofauti. Pia mnapojadili hoja jaribuni kuongea kwa kushirikisha senses
Si muwaache hao walalamikaji ndiyo wafungue nyuzi zao za malalamiko? Mbona badala yake ninyi ndiyo mnakimbizana kufungua nyuzi humu?
 
Sasa hivi utafatilia mpira kupitia Jf sports sababu Azam wameshakukwaza sasa uhondo wa Papaa Omary wa Njombe na Fredy Kulwa hauta utazama tena live?
Nitaangalia wa parokia ya mtkf Yosefu Gwedegwede tuu...
 
Nitaangalia wa parokia ya mtkf Yosefu Gwedegwede tuu...
Utakosa uhondo Papaa Omary wa Njombe kashasema kwasasa kashawasoma mabeki wa vilabu vyote vinavyoshiriki nbc premier league kwaiyo katoa ahadi tamu sana kwamba atapiga goli nyingi sana kila mechi so chonde chonde rudisha moyo wako uendelee kumtupia jicho lako Papaa Omary wa Njombe.
 
Back
Top Bottom