Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,187
- 39,522
Ndio mkuu maana serikali iliununua Mgodi ikapawa Shirika la madini la taifa (STAMICO) Hivi navyoongea TULAWAKA imefungwa ati ilikua ikiendeshwa kwa hasara ilhali Barrick waliwauzia ukiwa unatoa faida!Duh! Bilioni 56!
Mikono ya CCM ina laana.