Lissu ni lazima ujibu tuhuma-mahakama

Tanzania hatuna majaji Ila tuna wanachama wa CCM! Aibu

Hawa majaji wanajitia aibu....Mpendazoe walimlazimisha alipe full amount ya gharama za kufungulia kesi la sivyo kesi ingefutwa...lakini cha ajabu kwa Lissu wanaendelea ilhali wadai hajalipa hata shilingi mia! Majaji gani hawa!
 
Makoye et all,

Swali langu lililenga kuuliza kama huyu bwana mbunge wa jimbo au wa mahakamani! Nadhani bado anajichukulia kama advocate sio mbunge!
kwa hiyo, kwani huwa anajipeleka mahakamani
 
Back
Top Bottom