Lissu: Natafakari urais 2020

Lissu: Natafakari urais 2020

Haya yote uliyaandika yanaakisi Mwenyekiti wetu wa Chama Chetu kitukufu sana Chama Cha Majambazi.Pole sana.Ila ukweli utakuweka huru,na muda ni dawa nzuri kwa kila ugonjwa,Dawa kuu ya mgonjwa yote hata magonjwa hatarishi ni Muda na si pesa
Hebu mkuu waambie waweke mdahalo kati ya LISSU na Mwenyekiti wao kuhusu nchi inatakiwa ifanye nini kuondoka hapa ilipo waone nani bora
 
Lisu yupi sasa huyu mgonjwa?

Simcheki ila kama ni huyo basi WATANZANIA hatujitambui kabisa.
Wewe hata mama yako akipata fistula wakati Wa kumzaa Mdogo wako utamcheka kuwa anajisaidia hovyo!
 
hawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje

3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu

5.he never appreciates hata ufanye nini!..
Hofu yenu ndio.imepelekea mmempiga...leo tykifanya uchaguzi atadhinda akiwa Ubelgiji kitandani.
 
Hawamtakii mema utafanya wamalizie huko huko aliko Belgium watu wametoa mamilion kwenye chama kwa ajili ya hiyo nafasi leo ajitokeze mtu...
 
hawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje

3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu

5.he never appreciates hata ufanye nini!..
Kama huyu wa kwako hajaleta machafuko hadi sasa katika nchi hii, unawezaje kusema 'genius and democrat' Lisu alete machafuko!!! Kama wewe si kichwa cha kuku basi utakuwa unanyemelewa na mdudu wa utaahira.
 
Pascal wakati tunaendelea kutumainia kurudi kwa Azori potezea kwanza.
 
Laana ya kumtukana Dr Slaa na kumuita mr mihogo itawaandama milele Chadema.

Slaa alivunjwa mkono na mke wake kuharibikiwa mimba akiwa anaipigania chadema lakini akaishia kutukanwa matusi na bavicha!!

Laana hii haitawaacha salama chadema.
 
Kama huyu wa kwako hajaleta machafuko hadi sasa katika nchi hii, unawezaje kusema 'genius and democrat' Lisu alete machafuko!!! Kama wewe si kichwa cha kuku basi utakuwa unanyemelewa na mdudu wa utaahira.

acha kuwa inferior hakuna sehemu nimemlinganisha Lissu na yeyote yule! kusema Lissu hafai haina maana namuunga mkono mwingine!!!. aibu
 
Hebu mkuu waambie waweke mdahalo kati ya LISSU na Mwenyekiti wao kuhusu nchi inatakiwa ifanye nini kuondoka hapa ilipo waone nani bora

Duh!Unataka nikapime mkojo Rafiki,sijanywa maji ya kutosha.Hope unaelewa
 
Laana ya kumtukana Dr Slaa na kumuita mr mihogo itawaandama milele Chadema.

Slaa alivunjwa mkono na mke wake kuharibikiwa mimba akiwa anaipigania chadema lakini akaishia kutukanwa matusi na bavicha!!

Laana hii haitawaacha salama chadema.
Kwani Slaa hakuwatukana Cdm?.
Hakumwita Lowasa fisadi?.
Hakuwaita CCM mafisadi?

Lakini baada ya hayo yote, alikataa kurudisha kadi Ya CCM. Na sasa Amemalizia kwa kusema Siasa ni sayansi. Alipokua akisema hivi hatukumuelewa. Anataka tuamini yeye sio Muongo. Eti naye anadai amestahafu siasa..
 
Kwa mawazo mapana na yenye masilahi nchini,baadhi ya watanzania wengi ikiwema makamanda na wanaharakati wanamatarajio ya kwamba lissu apepelushe bendera kugombea urais kupitia chadema kwani mchango wa lissu, umeonekana ndani ya nchi na nje ya nchi.
Ikumbukwe kuwa lissu wakati ni rais wa TLS,kwa kipindi cha nusu mwaka alifanya mambo makubwa ikiwemo kutetea wananchi wasiokuwa na hatia,watanzania ni shahid,ccm wanajua na serikali inajua mchango wa lissu.ccm nao pia wanatamani lissu agombee urais kwasababu wanajuta hali ya siasa tanzania.watumishi hawajaongezewa mishahara na kupelekea hali kuwa mbaya zaidi ambapo hawakutarajia kama walivyo dhani.Hon.Lissu is expected 2020 .
 
Makamanda wa chadema wameshapoteza ladha, kama big g naweza tema nikaonja karanga, watu waliwaamini ila wachache wamewasalit, kwahyo wakaushe tu 2020 magufuli anapeta, 2025 makonda anapeta.

Nimeyaongea haya kama mtanzania wa kawaida. Asiyefungamana na chama
 
Back
Top Bottom