Lissu: Natafakari urais 2020

Lissu: Natafakari urais 2020

Makamanda wa chadema wameshapoteza ladha, kama big g naweza tema nikaonja karanga, watu waliwaamini ila wachache wamewasalit, kwahyo wakaushe tu 2020 magufuli anapeta, 2025 makonda anapeta.

Nimeyaongea kama mtanzania wa kawaida.
Misukule ya lumumba utaijua tu buku 7.
 
Makamanda wa chadema wameshapoteza ladha, kama big g naweza tema nikaonja karanga, watu waliwaamini ila wachache wamewasalit, kwahyo wakaushe tu 2020 magufuli anapeta, 2025 makonda anapeta.

Nimeyaongea haya kama mtanzania wa kawaida. Asiyefungamana na chama
Ikifikia hatua Makonda akawa raisi wa Tanzania nitaukana uraia wangu hadharani tena kwa kuita International Press Conference
 
Chadema wanashangaza pale wanapompigia debe Membe awe rais kwa tiketi ya ccm!
 
Kwani wanachadema huwajui kuwa wengi wao ni mapunguani?
mkuu utaua. hio ngumi ni saizi ya Evander, umempiga Matumla. Ila ndo ukwel. Chadema kuanzia vongozi wao had wanaolishwa na Mbowe, wote wana chembechembe za utaahira. Sijui ni kwa nini.
 
Kwa mawazo mapana na yenye masilahi nchini,baadhi ya watanzania wengi ikiwema makamanda na wanaharakati wanamatarajio ya kwamba lissu apepelushe bendera kugombea urais kupitia chadema kwani mchango wa lissu, umeonekana ndani ya nchi na nje ya nchi.
Ikumbukwe kuwa lissu wakati ni rais wa TLS,kwa kipindi cha nusu mwaka alifanya mambo makubwa ikiwemo kutetea wananchi wasiokuwa na hatia,watanzania ni shahid,ccm wanajua na serikali inajua mchango wa lissu.ccm nao pia wanatamani lissu agombee urais kwasababu wanajuta hali ya siasa tanzania.watumishi hawajaongezewa mishahara na kupelekea hali kuwa mbaya zaidi ambapo hawakutarajia kama walivyo dhani.Hon.Lissu is expected 2020 .
Mnampa Mbowe stress jamani
 
Back
Top Bottom