Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 47,028
- 122,389
Hata ile twiti ya Mh kipindi Lisu kapigwa risasi, unaamini ilitoka moyoni kweli?Ila mheshimiwa Lissu hiyo wish ya quick recovery inatoka moyoni kweli?Let us be honest.
Hata ile twiti ya Mh kipindi Lisu kapigwa risasi, unaamini ilitoka moyoni kweli?Ila mheshimiwa Lissu hiyo wish ya quick recovery inatoka moyoni kweli?Let us be honest.
Sentensi ya mwisho inadhihirisha furaha ya Lissu.
Get well soon John, MUNGU ana neno juu yako! We pray for your quick recovery
Mama yakoAliemdanganya Lissu kuwa rais anaumwa ni nan?
Ilikuwa for umma tu ile.Hata ile twiti ya Mh kipindi Lisu kapigwa risasi, unaamini ilitoka moyoni kweli?
Kwani nn kinaendelea ?
Ila mheshimiwa Lissu hiyo wish ya quick recovery inatoka moyoni kweli?Let us be honest.
Siku ukikua ndio utaelewa yanayoendelea tanzania.Hujajibu hoja ya mjumbe. Kwa mantiki yako tuwe tunaamini lolote pasi taarifa rasmi? Kukatishwa kwa ziara si lazima uwe ugonjwa. Hoja ni kwamba watanzania twapaswa kujuzwa kama kweli anaumwa na sababu rasmi za kukatishwa kwa ziara. why mtu wa ughaibuni ajue hali ya Raisi na watanzania wa tukuyu tusijue lolote?!
Hapana, sijui ndugu yangu lakini kuombeana afya njema ni jambo la kheri shiekh wangu, kama nimekosea natubu mbele ya wana CCM woteUna uhakika anaumwa?
Na kama una uhakika unajua anaumwa ugonjwa Gani?
Ila mheshimiwa Lissu hiyo wish ya quick recovery inatoka moyoni kweli?Let us be honest.
Hivi ile video inayosambaa ikimuonyesha mh anahutubia gafla moshi ukamvaa ndio chanzo ? Maana mpaka alisema ruangwa kiboko mnaleta mpaka moshiWhat else do you need?Nenda kichwani unafikiri Rais kukatisha ziara zake ni rahisi?Kuna mafuriko Ruangwa?tetemeko?Volcano?So the reason comes from his physical capacity.
Nani kasema anaumwa? we need an official announcement!
Ila mheshimiwa Lissu hiyo wish ya quick recovery inatoka moyoni kweli?Let us be honest.
Una reasoning nzuri , kila mmoja yupo strategic, huwezi kusema lolte maana hujui atalipokeaje akirudi!Hawawezi kutoa KAKA,si unamjua Magufuli wewe.Hapo wanaulizana akipona akute wameutangazia umma tatizo lake unafikiri atareact vipi?Ujue watu wanaweza tumia kama fimbo uchaguzi 2020 wakati wa kampeni?Hivyo watapiga kimya kimya unless afe.Watapiga kimya kimya tu akipona mtamuona anaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Koma,watanzania hutubebi roho mbaya za ki ccm.Ila mheshimiwa Lissu hiyo wish ya quick recovery inatoka moyoni kweli?Let us be honest.
nami baada ya Lisu kuandika, nimeamini! Lisu is well placed to get information even from the theatre room!Lisu hajawahi tunga uzushi wewe!
Refer taarifa zake za awali!!
Hadi imefikia hatua akaandika hivyo ( endapo hiyo si fake account) basi lazima lipo jambo !