Lissu: Namuombea Rais Magufuli apone arejee katika kazi yake. Ubaya haulipwi kwa ubaya bali kwa wema

Status
Not open for further replies.
Watu wa kusini hapana chezea, hasira za korosho wameamishia kupiga mtu kipapai

Ila kama ni kweli tumuombee kheri afikishe tanzania alipotamani
 
Hujajibu hoja ya mjumbe. Kwa mantiki yako tuwe tunaamini lolote pasi taarifa rasmi? Kukatishwa kwa ziara si lazima uwe ugonjwa. Hoja ni kwamba watanzania twapaswa kujuzwa kama kweli anaumwa na sababu rasmi za kukatishwa kwa ziara. why mtu wa ughaibuni ajue hali ya Raisi na watanzania wa tukuyu tusijue lolote?!
Siku ukikua ndio utaelewa yanayoendelea tanzania.
 
What else do you need?Nenda kichwani unafikiri Rais kukatisha ziara zake ni rahisi?Kuna mafuriko Ruangwa?tetemeko?Volcano?So the reason comes from his physical capacity.
Hivi ile video inayosambaa ikimuonyesha mh anahutubia gafla moshi ukamvaa ndio chanzo ? Maana mpaka alisema ruangwa kiboko mnaleta mpaka moshi
 
Nina mashaka na kale "kawingu" kalikomshukia wakati aliposimama njiani kusalimia watu siku anaelekea ruangwa.
Kale kakombora mhuuu,alisema lakini! "Mmeniletea moshi" TBC wakatoa hiyo seen na sijawahi kuiona hata utube, waswahili walinena panapofuka moshi...........
 
Ila mheshimiwa Lissu hiyo wish ya quick recovery inatoka moyoni kweli?Let us be honest.
Hawawezi kutoa KAKA,si unamjua Magufuli wewe.Hapo wanaulizana akipona akute wameutangazia umma tatizo lake unafikiri atareact vipi?Ujue watu wanaweza tumia kama fimbo uchaguzi 2020 wakati wa kampeni?Hivyo watapiga kimya kimya unless afe.Watapiga kimya kimya tu akipona mtamuona anaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Una reasoning nzuri , kila mmoja yupo strategic, huwezi kusema lolte maana hujui atalipokeaje akirudi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom