Lissu kama Lema?

Lissu kama Lema?

Status
Not open for further replies.
Hii mbinu ya CCM ni sehemu ya Time Bomb set to selfdestruct CCM yenyewe.
 
I didn't know ..when did Lissu become the MP of Arusha or do you mean the court is shifting and the ruling will be read from Arusha??

"I didn't know when did Lissu become .." hiki sio Kiingereza!
Naamini ulikusudia kusema "I don't know when Lissu became ..."

kwa kuongezea, umemnukuu vibaya mtoa hoja; kosa liko kwako, hebu isome 'thread' upya!
 
Mkuu

Unafahamu kwanini haya yanatokea... ni sawa na zile kura zilizoibiwa live, ni sawa na uchakachuzi uliotokea kwenye primaries ni sawa na dhuliuma yoyote ile ya nchi zenye watawala dhalimu

Mark My word.... Sierra Leone was once upon a Tanzania Identical twin (in peace and politics), it turned into blood diamnond country

and it was because of people like you, who would take a mickey of anything that hurts other people, i was there post war, kusaidia wamama walioteseka sana.... mifano yote wanayotoa, ni sawa ya kejeli unazotoa mkuu wewe na mfananao

I am just curious, WHAT MAKES YOU IGNORE EVERY SIGN OF A OTHERS SUFFERING

Ulipokua sekondari hukua hivyo, you are disappointing mkuu............ and accumulate rage and anger that may go beyong keyboard

all the best, naelekea Mirambo

Rejao can still stand and suport the oppressing side,bt a mouse will always react when an elephant step on its tail and at go suprising Rejao.
 
TIMING,
Kuvuliwa ubunge kwa mtu hakuwezi kusababisha madhara yoyote kwa nchi kama Tanzania. Ni watu wachache sana hapa nchini wapo interested na the so called wabunge. Ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kuwa, wananchi wengi wakiambiwa kuwa kitu kinachoitwa bunge kisiwepo, majority watakubali as bunge halina impact yoyote kwenye maisha yao.

Vitu vinavyoweza kuprovoke kuvunjika kwa amani ya nchi ni vitu vile vinavyogusa maisha ya watu directly. Kwa mantiki hiyo, TZ haiwezi kuwa kama Siera leon kamwe eti kisa Lema na Lisu wamevuliwa ubunge.

Nashangaa unavyosema kuwa sekondari sikuwa hivyo, sidhani kama kuna anayenifahamu zaidi ya hapa kwenye keyboard. Asante

Oh Realy!
 
Kazi ya rajeo ni kulamba viatu vya magamba na kutumwa tumwa huku na kuli kumwaga up.upu wa gamba's

qualification yake ni elimu ya dini

malipo yake ni kupumuliwa kisogoni
 
I'm wondering why is this only happening to CDM MPs. There must be something wrong with them as well as their part CDM.
Haushangai mwenendo wa kesi na hukumu zinazotolewa, bali unashangaa wanaopewa hukumu hizo kuwa wa CDM!. Kuna tatizo. Kwa vyovyote sikuwahi kusikia kiongozi wa CDM akituumiwa kuiba kura. Sina hofu Mh. Makongoro atashinda Kesi yake
 
Kumbe CDM wote walishinda ubunge kwa magumashi. Poleni sana

Mbona mawaziri wenu mafisadi bado hamjawafukuza? hata ukiitishwa uchaguzi tena bado CDM itashinda tu. CCM imeshindwa kwa sababu ya uongozi mbovu, dhuluma ambazo CCM na serikali inafanya dhidi ya CDM zitawarudia tu na Mungu atalipa na ndo maana serikali inayumba kama mpira haina msimamo sasa hivi. Kila siku kuvunja baraza na kufanya uteuzi wa viongozi, hao viongozi wanasimamia nini ikiwa vilio vya wananchi havisikilizwi?
 
I'm wondering why is this only happening to CDM MPs. There must be something wrong with them as well as their part CDM.

"I am wondering why is this ..." sio Kiingereza!
Sahihi ni kusema "I am wondering this is .."

rudi darasani usipoteze muda wa kusoma kwenye majukwaa ya kikubwa mtoto wewe!
 
Lowassa alisema kuna bomu la ajira nchini. Hilo ni grenade tu compared to hili la atomic-uonevu wa dhahiri dhidi ya wananchi unaofanywa na Dola
 
TIMING,
Kuvuliwa ubunge kwa mtu hakuwezi kusababisha madhara yoyote kwa nchi kama Tanzania. Ni watu wachache sana hapa nchini wapo interested na the so called wabunge. Ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kuwa, wananchi wengi wakiambiwa kuwa kitu kinachoitwa bunge kisiwepo, majority watakubali as bunge halina impact yoyote kwenye maisha yao.

Vitu vinavyoweza kuprovoke kuvunjika kwa amani ya nchi ni vitu vile vinavyogusa maisha ya watu directly. Kwa mantiki hiyo, TZ haiwezi kuwa kama Siera leon kamwe eti kisa Lema na Lisu wamevuliwa ubunge.

Nashangaa unavyosema kuwa sekondari sikuwa hivyo, sidhani kama kuna anayenifahamu zaidi ya hapa kwenye keyboard. Asante

What a lie..........
 
Hakuna mahakama kuu kama ya wanainchi acha wahukumu nasi tutawahukumu days are numbered,kama wanatenda haki polisi kutoka mikoa yote hiyo wa nini maji ya washawasha ya nini!tundu lissu tunamjua ni mwiba kwa serikali acha wafanye wanavyotaka but truth will remain there.
 
Dhuluma ya CCM kwa vyama pinzani ndio msingi wa kuimarisha nguvu ya upinzani!
 
Mbona itashangaza umma wa Watanzania kwa uonevu na unyanganyi wa waziwazi kesi iko wazi Mh Lisu kushinda tulikuwa tunafuatilia Mashahidi wa ccm walikuwa wanakimbia mahakamani mpaka kutafutwa.
 
Mkuu, are you mad or you just want to provoke people...

Jamani wana jamvi nashauri wakati mwingine kumjibu Rejao ni sawa na kumpa credit maana he is trying to divert people from the topic ili mjadili hasira zenu. Tahadhari, nashauri tuwe tunamwacha, tusimjibu
 
Sidhani kama kuna mkono wa CCM hapa, kinachozingatiwa hapa ni utawala wa sheria. Kama mtu hakufuata taratibu za uchaguzi, kwanini asinyang'anywe hayo madaraka? Ndio maana nimesema, tatizo linaweza kuwa kwa wabunge wenyewe au chama chao kwa kutowaelewesha vizuri wagombea wake kuhusu kanuni za uchaguzi.
Kuna nchi zinafuata utawala wa kisheria kama Uingereza, Marekani na nchi zilizoendelea. Kwa nchi za kiafrika na hususani Tanzania, kuna utawala wa kisheria wa bandia (artificial rule of law). Haki siku zote ipo upande wa watawala, watawaliwa hawana haki. CCM ni baba wa dhuluma, hata mkijifanya vipofu, na tawala zote dhalimu duniani zilizalisha waasi na ziliangamizwa na hao waasi ambao ni jeshi la ukombozi kiuhalisia. Na amini nawaambia majority tupo tayari kushika silaha kama ndio itakuwa njia pekee ya kuung'oa utawala dhalili wa kifashisti.
 
Kumbe CDM wote walishinda ubunge kwa magumashi. Poleni sana

ukosawa kabisa mkuu, wote watolewe na hata ikiwezekana chama nacho kifungiwe itakuwa pouwaaaaa!! BIG UP CCM +mahakama chama makini lazima kifwate sheria.CCM NUMBERI ONE WENGINE WANAJIKONGOJA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom