TIMING,
Kuvuliwa ubunge kwa mtu hakuwezi kusababisha madhara yoyote kwa nchi kama Tanzania. Ni watu wachache sana hapa nchini wapo interested na the so called wabunge. Ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kuwa, wananchi wengi wakiambiwa kuwa kitu kinachoitwa bunge kisiwepo, majority watakubali as bunge halina impact yoyote kwenye maisha yao.
Vitu vinavyoweza kuprovoke kuvunjika kwa amani ya nchi ni vitu vile vinavyogusa maisha ya watu directly. Kwa mantiki hiyo, TZ haiwezi kuwa kama Siera leon kamwe eti kisa Lema na Lisu wamevuliwa ubunge.
Nashangaa unavyosema kuwa sekondari sikuwa hivyo, sidhani kama kuna anayenifahamu zaidi ya hapa kwenye keyboard. Asante