Lissu kama Lema?

Status
Not open for further replies.
Rejao, mjanja, lakini je, atakuwa hivyo siku zote na kwa watu wote? Anawaudhi wengi sana!
 
Sidhani kama kuna mkono wa CCM hapa, kinachozingatiwa hapa ni utawala wa sheria. Kama mtu hakufuata taratibu za uchaguzi, kwanini asinyang'anywe hayo madaraka? Ndio maana nimesema, tatizo linaweza kuwa kwa wabunge wenyewe au chama chao kwa kutowaelewesha vizuri wagombea wake kuhusu kanuni za uchaguzi.


Rejeo GAMBA lako gumu kweli....I wonder why you are so HARD...yaani unajitoa akili kabisa na kubaki box tupu...unakuwa mchumia tumbo...halafu unakanusha kuwa hakuna mkono wa ccm kwenye kuwavua ubunge wabunge wa CDM? REMEMBER.....CCM DAYS ARE NUMBERED....USIDHANI JANA NI LEO NA LEO NI KESHO, THE DAY WILL COME....KUNA SIKU AKILI ZAKE ZITARUDI NA UTAKUWA NA UELEWA....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom