Lissu kama Lema?

Status
Not open for further replies.
Liwalo na liwe,
Tena ndo vizuri akaibomoe ccm
kama wanavyofanya lema na dr. huko majimboni.
 
ni kweli wewe hufahamiki kabisa, mimi niliyesoma ilboru na tabora ndio nafahamika
hahaha.. TIMING,
Kumbe vipaji maalum hapa JF tupo wengi...Am happy for that mkuu!! Tupo pamoja!
 
Last edited by a moderator:
I didn't know ..when did Lissu become the MP of Arusha or do you mean the court is shifting and the ruling will be read from Arusha??

Usijifanye unajua kingereza mwenzio kaandika kiswahili unamkosoa kwa kingereza una maana gani unataka uonekane unajua au ndo kupenda lugha za wenyewe
 
its just a temporary thing na ndio itakayochochea chuki ya watanzania kwa CCM na wapinga haki wote

Waache wapoteze muda wao mwingi kuhangaika na wabunge wa CDM mahakamani kutahamaki 2015 hiyo na hawajafanya kitu. Wananchi tutatoa hukumu ya kumuua nyani.
 
mKUU usijibu tu majibu ya dharau simply because you suport CCM, ninajua unajua kwamba HATA Trayvon Martin, rodney king, Martin Luther King etc were insignificant and junks a few minutes before thir murders or tortures....

nothing is insignificant in politics especially in a desperate society

Take it from me, Godbless Lema would be very ordinary kama sio kumvua ubunge, and that is my point

Frrapa... a simple term in a small west africa country meant a lot when the insignifcant got significant

OUR TASK IS TO THINK OUTSIDE THE BOX MKUU

This of a housegirl who is always obedient, we belittle her, but when she runs riot, we go insane because of our kids

ANYWAY, IF UBUNGE IS NOT INTERESTING, WHY IS CCM SPENDING BILLIONS ROBBING BACK THE SEATS??
Janjaweed,
Duh! hebu nipe mfano ni wapi CCM imefanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu katoka Singida asb jana kaingia Dar mchana akitamba kuwa kazi kwisha(wamemaliza)anafuata Mnyika halafu wanakula poz ila Mdee nae ilikuwa inakula kwake
 
Usijifanye unajua kingereza mwenzio kaandika kiswahili unamkosoa kwa kingereza una maana gani unataka uonekane unajua au ndo kupenda lugha za wenyewe

Kuna watu wanafikiri Kiingereza ni deal kukisema au kukiandika. Mimi nashangaa JF member wengi ni wasomi hawawezi kushindwa kuandika kiingereza fasaha. Mtu huyo huyo ukimpeleka jukwaa la IF unakuta hana lolote anachangia kiswahili hata kama post ni ya kiingereza.
 
haya yote watendayo yana gharama kubwa sana kwa serikali na ccm
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom