Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

Asante Petro.

Lkn mimi nataka niende nje ya mada kidogo.

Kwanini wanasheria wa humu JF hamtusaidii pale mijadaya ya kisheria inapozuka na kuleta ukakasi kwenye jamii??

Ni uvivu? Uoga? Au kutokujua??
Umesahau moja..wanakasumba ya "kujiona" na "kujisikia"
 
Britannica hebu msome huyu jamaa basi!! Hasa ukiwa na utulivu.

Aksante sana mkuu
 
You sound very loud and clear
 
Kabudi alikuwa anatoa lecture mbele ya kina kibajaji unadhani kungekuwepo wa kuzipima hoja zake? Angalia mimacho ilivyokuwa imemtoka pima!

Kwa kuw anajua kisheria hii nchi ni yetu na siyo ya bunge basi aipeleke bungeni mikataba ya madini na gas ikajadiliwe.

Kabudi ni mweupe tu unamlinganisha na werema LISSU ni habari nyingine.
 
Hajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??
Ulienda kumwona au wewe ndie daktari ulie mhudumia?
 
Mwanzoni nilijua mtoa mada anaongelea uwezo Wa kabudi vs lisu kwenye sheria, kumbe nilikuwa nakosea, sasa nimeelewa ishu sio wanaijua sheria kiasi gani Bali unaongelea namna ya kuongea!!! [emoji1] [emoji1] [emoji1] hii ni aibu kiwango cha makinikia
 
I miss JF iliyokuwa na watu walioelimika siyo kupitia madarasa
 
Kabla ya kufafanua hoja yakee kaanza kujikosoa ujinga wake, be comfortable and deliver tutaelewa tuu😀😀
 
Kabudi nilianza kumdharau baada ya kusema sisi tutachukua 50 na acacia 50 huku macho makavu
 
Lakini ww unae elewa pia unabwabwaja hapo napowashindwa wabongo hebu njoo na highlighted points za kuonesha weakness weka content
 
Tukiacha ushabiki wa kisiasa Lissu ni mweupe mno huwezi kumlinganisha na Prof. Kabudi. Lissu makelele ndiyo yanayombeba.
Makele ya kisheria au ya kushangilia mpira[emoji57] [emoji57] unanikumbusha story ya mwl kuchora makalio akiamini amechora moyo

Kuuliza wanafunzi hii ni picha ya nini wakasema ma..ko(makalio), kila Mwanafunzi alie ulizwa alijibu kuwa ni ma..ko.
Mwl akaona amedharaulika na wanafunzi, ikabidi aende Kwa mkuu Wa shule kutoa taarifa.
Mkuu kaja darasani anauliza nani anamdharau mwl, ?

Wanafunzi wajajibu hakuna anae mdharau

Akauliza kama hakuna ana mdharau mwl nani kachora makalio ubaini.

Ndicho wewe unataka kutuaminisha kuwa jamaa anapiga kelele harafu Mwanasheria wanamuulewa!!!!?
 
Mwambie atengeneze namna nzuri ya kuwasilisha maoni yake si kwa kuifokea na kui-command serikali...

Ataendelea kuwa ignored ingawa tunatambua anayo mazuri ya kusaidia nchi.
Ila nyuma ya pazia mnatamani kumshukuru
 
Hivyo vifungu ni vya nini hebu taja nawe tukuone
 
Lissu is a gift we have, God has given us this man. No one can be compared with him. He is on another higher level. Kabudi is nothing to him, many cowards of law speak too much, and that is Kabudi. Kabudi cannot even fits Mdee's boots.
Ayie kodi Mr Onjuaria [emoji120] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…