Hawezi kukujibu hapo. Subiri sana labda mwingine !!britanicca,nimefanya kazi na Prof Kabudi kwa vipindi viwili tofauti na sehemu mbili tofauti.
Yeye ni sawa na Prof. P. Limumba, "tongue twister".
Mh. T. Lissu sijapata bajati ya kufanya naye kazi au kuwa karibu naye zaidi ya kumfahamu kupitia kaka yangu waliyesoma naye na harakati zake tangu enzi hizo za 1990's.
Naomba uniambie wewe na wengine wote hapa jukwaani,ni nani aliyekuwa anatetea rasilimali za Taifa kabla ya mwingine!?
Naomba niambie,ni nani kati ya Mh. T. Lissu na Kabudi ameweka rehani uhai wake na wa kizazi chake kwa kutetea ukweli katika tasnia yao ya sheria?
Naomba utoe ushahidi wa "kimatokeo" wa jambo ambalo kila mmoja alilisimamia kisheria hadharani na akafanikiwa ama bado anaendelea nalo na msimamo wake ule ule wa awali kuhusu kambo hilo.
Ukiweza kunijibu hayo,utaniaminisha kuwa wewe si tu ni "msemakweli", bali pia ni "iwee originali" .
Tafadhali.
Aisee wewe ni NDEZI!!Ahaaa haaa haaa
lisu ni mtupu SANA. wengi kwa sababu ya upeo wao mdogo, HAWAKAZII FIKIRA ZAO ANACHOSEMA BALI WANAANGALIA JINSI ANAVYOSEMA.
yeye tundu lisu hata ukimuuliza wewe ni NANI, atakavyojibu kwa gesture hiyo mpaka utashangaa. hata salamu ni vivyo hivyo.
Aisee wewe ni NDEZI!!
Usimwambie MTU.
IweMijadala mingine tabu
Amewahi kushinda uraisi dhidi ya mgombea wa CCMMbona ma-CCM mnaweweseka na Lissu....
Usiwe unakimbilia kuchangia kama hujaelewa vizuri.Ni kweli kabisa Lissu thinking yake ni too shallow!!
1. Sijui Tundu Lissu alitaka Raisi mamlaka yake hayo ya kutunga sheria ayapate wapi kama si kwa kupitia Katiba?
2. Mamlaka ya mihimili yote yanapatikana kupitia Katiba. Hata hayo mamlaka ya muhimili wa bunge ya kupitisha misuada ya sheria yanatokana na Katiba.
3. Yaani Tundu Lissu anataka kuwadanganya wananchi kwamba bunge peke yake linaweza kutunga sheria. Kazi ya muhimili wa bunge ni kupitisha misuada ya sheria iliyoandaliwa (usually) na muhimili wa serikali (executive under the president). Misuada hiyo ikishapitishwa na bunge (kwa kusomwa mara ya tatu) inabaki kuwa misuada na hurudishwa kwa Rais. Rais akiridhia na kuweka saini yake ndipo misuada hiyo hugeuka kuwa sheria. Rais asiporidhia misuada hiyo haiwezi kuwa sheria, na hutupwa kapuni. Sasa kwa mwenye akili timamu anaweza kweli kusema kwamba Rais hana mamlaka katika kutunga sheria?
4. On top of all that, Katiba pia imempa Rais mamlaka ya kutoa tamko (decree) ambalo likichapishwa kwenye gazeti la serikali linakuwa sheria moja kwa moja, yaani bila kupitia utaratibu wa kupeleka musuada kwenye bunge. Halafu mtu kama Tundu Lissu, huku akichechemea hospitalini, anasema eti Rais hana mamlaka yo yote kwenye kutunga sheria! Indeed it is very flabagasting.