Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

Lissu ni mropokaji na mpiga kelele tu hajui lolote kinacho mbeba ni kwamba wananchi wanahamu kubwa ya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala.
Book 7 timu naona mmetangaziwa rasmi kurudi kazini, na kwa udhaifu mnajadili mtu badala ya hoja .shame on you
 
Lisu angekuwa angewachoma hata wampige risasi 38!?
 
Mtaalamu wa sheria hujulikana kwa idadi ya kesi anazoshinda,si uprof.wala si phD na wala si vinginevyo.Huwezi mtu ukawa engineer wa mechanical engineering wakati hujuwi hata kufufua excavator iliyoharibika.Eti oooo Mimi ni engineer wa theory,hakuna kitu kama hicho duniani.Theory yako lazima uilete ktk practical na izae matunda ndipo tutasema fulani ni msomi.
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Hujatumwa tu umehongwa pia
 
Kama Anna Makinda mwenyewe Bungeni alikua anakiri Lissu ni level nyingine na anataka jibu la mwisho kwa Lissu kuhusu taifa hili leo unakuja unasema Lissu ni lolote kwa Kabudi

Swali: Kabudi amefanya nini kulitetea taifa au watu

You understand you teach, you know you do

Kabudi anaelewa sheria ya kusoma il hajui sheria ya kupractise
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Mkuu ningekuelewa kama ungekuwa unatoa mifano ya namna Lisu asivyoweza badala ya kuwa general. Lisu amekosoa kauli ya Kabudi kuhusu Instruments na proclamation na decree za Rais na amefanya kwa weledi wa hali ya juu. Sasa wewe tuambie wapi amekosea sio kuzungumza hewa.
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Rubbish!
 
Hajui hata katiba ya CHADEMA chama chake sembuse sheria ya nchi? Unapigwa risasi kwa mizengwe unashindwa kuyasoma mazingira?? Risasi inapigwa kulia unaumia kushoto? Then unajiita mwanasheria nguli hujui hata kuchambua mambo??

Kumbe misiba mko wengi humu.
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Unalinganisha rangi ya upepo na maziwa ya kuku! Bora tuachane.
 
Lissu ni mropokaji na mpiga kelele tu hajui lolote kinacho mbeba ni kwamba wananchi wanahamu kubwa ya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala.
Mtafute spika mstaafuu mama Anna Makinda, halafu Muulize Lissu ni nani?
 
Sasa mbona alidanganya na kutuhaminisha matrilioni bila kuchambua jinsi kina Ossoro walivyodanganya. Yaani wewe utoto unakisumbua kuangukia tambo za Kabudi. Kabudi kila anapopata nafasi anatamba na kudhani kina Msukuma na Lakairo watamuelewa. Wanaomuelewa wengi wako mle kupiga makofi
Mkuu aidha unakubali au unakataa Prof Kabudi yupo vizuri.

Hakuna anayekuzuia kuwa na maoni yako binafsi ndio maana ya uhuru wenyewe wa habari.
 
Kabudi alikuwa anatoa lecture mbele ya kina kibajaji unadhani kungekuwepo wa kuzipima hoja zake? Angalia mimacho ilivyokuwa imemtoka pima!

Kwa kuw anajua kisheria hii nchi ni yetu na siyo ya bunge basi aipeleke bungeni mikataba ya madini na gas ikajadiliwe.

Kabudi ni mweupe tu unamlinganisha na werema LISSU ni habari nyingine.
Lissu hamna kitu. Mikataba ikipelekwa bungeni wabunge wa upinzani wanaanzisha maneno mitandaoni!.

Kabudi kawafundisha wengi tu wa aina ya Lissu. Na kwa sababu kazoea kufundisha, anaongea kwa nia ya kutaka mtu aelewe.

Lissu kwa sababu ya majivuno huwa anawakejeli watu ambao wanaapa kama yeye ndani ya bunge.

Approach ya Lissu ni mbovu hata kama anaweza kuwa na hoja nzito anayotaka kuiwakilisha, Kabudi ni mzoefu wa kujenga hoja, mzoefu wa sheria na taratibu zake kumzidi Lissu.
 
Mwanzoni nilijua mtoa mada anaongelea uwezo Wa kabudi vs lisu kwenye sheria, kumbe nilikuwa nakosea, sasa nimeelewa ishu sio wanaijua sheria kiasi gani Bali unaongelea namna ya kuongea!!! hii ni aibu kiwango cha makinikia
Namna ya kuongea inawakilisha pia uwezo wa mtu kwenye fani yake. Jinsi unavyojibu maswali ya mtihani ndivyo utakavyofaulu au utakavyofeli.
Kabudi anawakilisha hoja zake kwa ukamiifu wake bila ya kumkejeli au kumtusi mtu.

Intellectual arrogance ndio ugonjwa wa Lissu, Kabudi hasumbuliwi na ugonjwa huo.
 
Huyu Profesa Kabudi kanywa matapishi yake mwenyewe hana msimamo,Lissu ana msimamo anajua vifungu vya sheria,...mfano vedio hapo chini,kwenye Video anajichanganya kuhusu mamlaka ya Raisi wa Jamhuri ya MunganoTanzania na Serikali ya Zanzibar kabla na baada ya kupata uwaziri,....huyu ni Professor Bendera anafata upepo wapi unaelekea

Mtoa mada kachukue buku saba Lumumba hamna cha maana ulichoandika apa
 
Back
Top Bottom