Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi
Rubbish
 
Kabudi ni smart liar Lissu ni nguli wa Sheria tatizo umetumwa kweli Sema Kabudi kuzoea kutoa lecture Lissu ni Mwalimu wa sheria
 
Unacheza na Lissu wewe eti,mtu kashindwa mahakamani kutiwa hatiani hadi kushambuliwa na bunduki ili kumzima bado unamchukulia poaa?

Lissu ni level nyingine.
State yote wanasheria wameshindwa kumtia hatiani
 
Kabudi hua haelezi kile anachoulizwa bali hua anaeleza kile anachokijua yeye mwisho wa siku anakuja kuongea vitu mpaka unashangaa rejea mambo ya kuwaambia wabunge wakasome legal anthropology, mara sijui ooh we were in the times when president was president..nigga who asked about all that stick to the point...
Hakuna tofauti ya kabudi na lissu,wote ni ni ma educated lumpen
 
Hakuna tofauti ya kabudi na lissu,wote ni ni ma educated lumpen
Ipo tofauti kubwa tu labda haumfahamu Kabudi anakitu kinaitwa Academic arrogance, ndo maana wanafunzi wake walimuwekea kauzibe asiwe wakili mpaka alivyopata uwakili wa viti maalumu maana kila akifanya interview watu wanakula kichwa kama alivyo N.N.N.Nditi
 
Mkuu, uzi wako una title nzito sana, nilitarajia utawatendea Haki Tundu Lissu na Profesa Kabudi, kwa angalau kufanya kautafiti kidogo ili kujenga hoja kwamba kweli nani zaidi kati ya hao wawili. Naweza kusema yafuatayo kuhusu Tundu Lissu:
1) Enzi ya bunge la Spika Anne Makinda, Tundu Lissu ndiyo alikuwa "Rejea" ya mambo yote ya kisheria pale Bungeni, ambapo spika alilazimika kutafuta ushauri wa Andrew chenge baada ya kutoridhishwa na "performance" ya George Mcheche Masaju wakati huo akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. chenge aliishia kusema "alichosema Tundu Lissu ni sahihi". Tundu Lissu aliitendea haki nafasi hiyo, bila kujali kama yeye ni mtu wa upinzani. alikuwa anatema sheria tupu.

2) ukirudi nyuma kidogo, Tundu Lissu aliwasaidia wananchi zaidi ya 400 waliokuwa mahabusu au kufungwa wengine kwa kesi feki za mauaji, kosa lao kubwa ni "kupinga" uwekezaji kule Nyamongo. walizuliwa kesi za kuchomekea. Tundu Lissu alifanya kazi hiyo bila gharama yoyote kwa wananchi hao. aliishia kukamatwa na serikali ya Mkapa. Kitendo hiki kinamuweka katika level ya pekee, kama mpambanaji, mtetea haki za wanyonge, asiyetaka faida yake binafsi, na ambaye amepata mateso na kadhia nyingi kwa ajili tu ya kutoa huduma bure kwa wanyonge hao.

3) Mwanzoni, Spika Anne Makinda aliingia mkenge kwa kumtaka Tundu Lissu athibitishe madai yake kuhusu "Majaji feki". Thesis aliyoishusha Tundu Lissu, na ambayo ilipatikana pia mitandaoni, ilikuwa na majibu maridhawa pamoja na ushahidi wazi kabisa. huo ndio ukawa mwisho wa Spika kuwataka Wabunge wa upinzani "kuthibitisha" kauli, hasa watu kama Lema au Tundu Lissu.

Mwanzoni Profesa Kabudi alipotinga bungeni, niliandika uzi kuhusu mtanange wa Kabudi na Tundu Lissu, nikilinukuu gazeti la Raia Mwema ambalo lilikuwa linaangalia hali itakavyokuwa katika Bunge hili ambapo sasa watakuwepo manguli wa Sheria, wakiwemo Profesa Kabudi na Naibu Spika Tulia Ackson. Nilitabiri kwamba Tundu Lissu ataibuka kidedea, kutokana na hoja kadhaa. Mojawapo ni hizi zifuatazo:
1) wakati Tundu Lissu amepambana sana kwenye field, mara kadhaa mahakamani ama ajikitetea mwenyewe, au akitetea wananchi wengine, Profesa Kabudi yeye ni bingwa katika nadharia.

2) Tunaweza kusema kwamba Tundu Lissu ni zaidi pia kwa sababu yeye ameanza miaka mingi kushughulika na sheria katika uwanja wa siasa. Kabudi amekuwa zaidi sheria za darasani na za kisomi. Sasa hapa wamepambana mahali ambapo ni sheria katika siasa, ambalo ni eneo la kujidai la Tundu Lissu

3) kuna hoja moja kubwa sana. Tundu Lissu yupo upande wa walala hoi, anapigania haki, mwanaharakati, ambaye ana morali wa hali ya juu sana: HIGHLY MOTIVATED! Kabudi yeye analinda mfumo, wenye madhambi na madhaifu mengi. Mfumo unaonyanyasa raia. analazimika kutafuta namna ya kuokoa mfumo kandamizi, kuupaka rangi na kuupulizia pafyumu ili harufu ya mizoga ambayo inaandamana na serikali kandamizi, isisikike. Katika majibizano haya ya sasa, Kabudi anaremba remba ili kulinda mfumo, na anadiriki kuongea vitu ambavyo ni nje ya sheria, ili kulinda mfumo. hata kule Marekani, alitamka mambo ambayo siyo kweli. Tundu Lissu alimjibu na kumkosoa, Kabudi hakujibu. na sasa hivi pia Lissu anaonesha makosa ya kisheria anayofanya Kabudi katika jitihada zake za kulinda mfumo. katika mazingira ya aina hiyo, Kabudi hawezi kufua dafu kwa Lissu.
 
Naanza kwa kukubali title yangu ndiyo, kabudi ni level nyingine kwa kina Lissu na mdee,

Najua nitapigiwa kelele baada ya uzi huu wengine watasema umetumwa, wengine watasema heshima yako inashuka no sina heshima hapa, nipo kuwasilisha mawazo yangu,

Kwa uwezo wa kabudi wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala huwezi kumlinganisha Lissu hata siku moja,
Lissu uonekana anajua sheria kwa wasioelewa,

Kwa kifupi lissu hupiga kelele kwa kutaja vifungu n.a. watu wanashangilia bila kujua,

Kwa ufupi nimefuatilia hata baadhi ya hoja za kibatala nikaona Lissu uanasheria wake anacheza na jukwaa tu,
Hajafika hata level za kina Marando, au Advocate Mukono, ila kwakuwa hawana platform ya kuonekana watu hawagundui

Angalia presentation style ya kabudi na relevance ya anachokisema kutokana na sheria, mwangalie LIssu presentation na relevance ya anachoongea, kwa kifupi Lissu sheria yake haijafika level hizo mnapomuweka,

Akiacha kuongea kwa kupiga kelele akiwa ametulia atakuwa mwanasheria mzuri , bado Ana nafasi afanye mazoezi

Kabla hujafanya hitimisho, tafuta mtu yeyote aliyefanya kazi kwa karibu na Kabudi na ufanye nae mahojiano. Kama ulivyosema, Kabudi atafanikiwa ku-impress wale wasiomjua kwa "uwezo wa uwasilishaji wa mazungumzo na mijadala". Ni presentation tu na kuchonga, nothing else. Kama huniamini, tafuta mtu unayemwamini aliyefanya kazi kwa karibu na Kabudi.

That said, linganisha misimamo ya Lissu na Kabudi. Kabudi wa sasa na yule wa Tume ya Warioba. Then, fuatilia kazi za Lissu alipokuwa LEAT (kabla hujamfahamu) halafu ona kama Kabudi ana chochote cha kuonesha kuhusu harakati za kutetea wanyonge. Labda kama Acacia watalipa USD 190 billion na a-claim yeye ndiye ali-negotiate nao na kufanikiwa kuwabana walipe. Kabudi ni hodari sana wa kujikomba kwa watawala ili kulinda maslahi yake binafsi. Na anafanikiwa akikutana na mabosi wajinga wanaolewa sifa uchwara. Kabudi hawezi kujitoa mhanga kama Lissu. Unafikiri ni kweli Kabudi anaamini kwamba hakuna haja ya Katiba Mpya sasa kwa kuwa Rais Magufuli hakuahidi hilo wakati wa kampeni? Ni nini kinamfanya Kabudi kusema hakuna haja ya Katiba Mpya sasa kama si maslahi binafsi?
 
Ubora wa wanasheria tunaangalia kwenye mambo mengi sana Brittanica. Nikuuliza kwamba mpaka leo umesoma maandiko mangapi ya kisheria ya Prof Kabudi au Mh Lissu nina uhakika huwezi kunipa jibu.
Hebu hizi siasa za kimajungu tuachane nazo...

..Prof.Kabudi ni mtu wa majigambo pia.

..lakini anachofanya ni kuwajenga wasikilizaji wake wawe WANYENYEKEVU kwa watawala.

..mara nyingi Prof.Kabudi amekuwa akitumika na watawala kwa kuteuliwa nafasi kubwa-kubwa.

..Tundu Lissu ni mtu machachari. Ana tabia ya kusema mambo ambayo watu hutaka kuyasema, lakini hawana utayari wa kuyasema.

..Tundu Lissu, pamoja na mapungufu aliyonayo, huwajengea UJASIRI wasikilizaji wake.

..Siku zote Tundu Lissu amekuwa upande wa wanyonge. Akiwatetea ktk mashauri ambayo mawakili wenye mapesa hawataki kushughulika nayo. Hali hiyo ndiyo iliyopelekea Tundu Lissu kupachikwa jina la " WAKILI WA WANYONGE."
 
Kabudi hua haelezi kile anachoulizwa bali hua anaeleza kile anachokijua yeye mwisho wa siku anakuja kuongea vitu mpaka unashangaa rejea mambo ya kuwaambia wabunge wakasome legal anthropology, mara sijui ooh we were in the times when president was president..nigga who asked about all that stick to the point...
Correct! They are all megalomaniac. LIssu haamini kama kuna mwingine, hajui kama nchi haihitaji sheria tu, kuna mengine ya muhimu kuliko sheria. Kila kitu anaamini ni yeye anayejua na akiona sifa zinakwenda kwa mwingine atazua jambo. Sifa anazitafuta hadi kitanda cha hospitali.

Kabudi naye ni balaa hilo hilo. Anahangaika kunyamazisha watu kwa mambo yasiyohusiana na mijadala. Anataka wabunge wote wawe wanafunzi wa sheria wakati yeye hataki kujifunza taaluma za wengine. Nahisi anatamani wabunge wote wawe wanasheria. Ukimuangalia usoni haoneshi kama anaamini kuna wanasheria wengine wanaomfikia. Nimeona akitishia kusema marks za wanasheria lakini hajaomba majibu ya magonjwa yake hospitalini!
 
..Prof.Kabudi ni mtu wa majigambo pia.

..lakini anachofanya ni kuwajenga wasikilizaji wake wawe WANYENYEKEVU kwa watawala.

..mara nyingi Prof.Kabudi amekuwa akitumika na watawala kwa kuteuliwa nafasi kubwa-kubwa.

..Tundu Lissu ni mtu machachari. Ana tabia ya kusema mambo ambayo watu hutaka kuyasema, lakini hawana utayari wa kuyasema.

..Tundu Lissu, pamoja na mapungufu aliyonayo, huwajengea UJASIRI wasikilizaji wake.

..Siku zote Tundu Lissu amekuwa upande wa wanyonge. Akiwatetea ktk mashauri ambayo mawakili wenye mapesa hawataki kushughulika nayo. Hali hiyo ndiyo iliyopelekea Tundu Lissu kupachikwa jina la " WAKILI WA WANYONGE."
Msaliti huyo na mropokaji kabambe walahi
 
Well said!
Too late painkillers zimesha tawala mwili wake ni ngumu walahi!
 
Mkuu britanicca , with due respect, hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii hapa JF hata kama ni muanzishaji mzuri na mkongwe wa mada-hata zile zinazokinzana. Hakuna mahali popote ambapo kuna mabishano kuwa ni nani kati ya Prof. Kabudi na Lissu yuko 'vizuri' kuliko mwenzake. Hao ni wanasiasa na wanajibizana kisiasa. Hakika, huna hoja wala hukuwa na haja ya kuanzisha mada hii ambayo inaweza kuishia kumtweza mmoja wa hao. Kama huna hoja, si lazima uanzishe mada. Muda mwingine soma za wenzako!
Sasa Mkuu Mselewa hapo ndipo unapochemka. umesema mambo mawili makubwa hapo. mosi kwamba hakuna haja ya kuanzisha uzi unaochambua nani zaidi kati ya hao wawili. Pili ni kwamba hakujenga hoja yoyote katika uzi huu.

Hilo la pili nakubaliana na wewe kwamba hakuleta hoja inayothibitisha tuhuma aliyoileta katika uzi huu. Hapo tunakubaliana.
Lakini sikubaliani na wewe katika hoja yako ya kwanza kwamba Britannica hana haja ya kuanzisha mada hii, "ambayo inaweza kuishia kumtweza mmoja wa hao". Unadai pia kwamba "Hao ni wanasiasa wanajibizana kisiasa". Hebu nikuulize mkuu. Mfano katika mzozo wa sasa hivi, Tundu Lissu anapinga kauli za kisheria alizotoa Waziri Profesa Kabudi kule bungeni. unaisoma vizuri hiyo sentensi: Kauli za Kisheria, alizotoa Waziri, Profesa Kabudi, Bungeni. kila phrase ina uzito wa pekee. hizo ni kauli za kisheria. kasema Waziri. waziri mwenyewe ni Profesa, kasema wapi? Bungeni! Sasa hoja za Lissu hapa ni kwamba Mheshimiwa Waziri, Profesa Kabudi, kakosea. hatuwezi kufunika blanketi la "Mabishano ya kisiasa" katika hili. la msingi ni kwamba yanayozungumzwa ni mambo muhimu kwa mustakabali wa taifa letu. hivyo tunahitaji kupata kauli za kweli na si za kubabaisha. Kama Tundu Lissu katoa hoja hiyo, tungefurahi kumsikia Profesa Kabudi akitafuta jukwaa la kumjibu Tundu Lissu Kisheria, atoe mada maalum kumjibu. hapo tungefaidika zaidi.

Lakini hoja kama hizi zikiletwa hapa zinasomwa na wengi, wakiwamo wahusika wenyewe. hiyo inawapa nafasi ya kujitathmini kile wanachokiongea mbele ya hadhara. huo ndio uhuru wa maoni, ambao umesimikwa kwenye katiba, na hayo ndiyo mafao yake. sasa Mkuu unapoupuuza uhuru huo, unataka kujenga hoja gani hasa?
 
Kabudi aliisoma kwa kuangalia ..mwenzake lissu aliisoma kwa kuona .

Umri wa Lissu na uwezo wake wa Sheria..HUWEZI kaa nakufikiria uulinganishe na KABUDI .

Lissu nikitu kingine ndomaana mnapenda hata aaimie uko.
Kivipi toa hoja kutetea maneno yako
 
kwangu lissu kwa kusemaa ukweli yuko vizuri. kabudi hmna kitu ni makelele tu
 
Lissu is a gift we have, God has given us this man. No one can be compared with him. He is on another higher level. Kabudi is nothing to him, many cowards of law speak too much, and that is Kabudi. Kabudi cannot even fits Mdee's boots.
 
Anaweza akamzidi kama mtatumia TV na mitandao mkaongea na watu wenu tu bila wenhe uelewa kuwajibu. Akili ndogo hazihitaji data, yaana simple tu Kabudi anamzidi Lissu halafu unaungwa mkono.
 
Back
Top Bottom