Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,382
- 18,178
- Thread starter
- #121
Vita ya uenyekiti itawamaliza chadema alianza chacha wangwe sasa zamu ya Lisu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Haishangazi .
Huo ndio ukweli wenyewe.. anaujua hataki kuusema ili achafue tu serikali.
Maprofesa wawili wa ccm wanashea wasichokielewaKama hiyo ni kweli basi wamefika pabaya.
Yetu macho
Haya maswali unamuuliza Lisu anayetaka mbowe achunguzwe?Watetezi wa chama tawala na serikali iliyopo madarakani ebu kuweni angalau na uwezo kidogo tu wa kuchakata mambo
Msiwe watumwa/wadumisha fikra za mwenyekiti kwa kila jambo
Mbowe ndio aliwaondoa walinzi wote wa serikali ili ashambulie?
Mbowe aling'oa zile kamera kwa Waziri wa nishati Kalemani?
Mbowe ndio alizuia matibabu ya Lissu?
Mbowe ndio alipiga marufuku kupitia jeshi la polisi kumuombea Lissu kwenye viwanja vya wazi?
Mbowe ndio alimwagiza spika awaondoe wabunge wa upinzani ndani ya bunge ili watoke huko nje wasiko na immunity ya kibunge ili awashughulikie?
Mbowe ndio anataka kuzuia mshahara wa Lissu na stahiki zake zingine kama mbunge?
Nyie ccm na watetezi wake muwajinga mno hamna akili za kuchambua mambo katika uhalisia wake
Mmebaki kuwa watumwa wa wanasiasa uchwara jamii ya jiwe ili kukidhi matarajio yao ya kisiasa huku wajinga mkitumika kama ngazi ya kupandia
Sent using Jamii Forums mobile app
Watetezi wa chama tawala na serikali iliyopo madarakani ebu kuweni angalau na uwezo kidogo tu wa kuchakata mambo
Msiwe watumwa/wadumisha fikra za mwenyekiti kwa kila jambo
Mbowe ndio aliwaondoa walinzi wote wa serikali ili ashambulie?
Mbowe aling'oa zile kamera kwa Waziri wa nishati Kalemani?
Mbowe ndio alizuia matibabu ya Lissu?
Mbowe ndio alipiga marufuku kupitia jeshi la polisi kumuombea Lissu kwenye viwanja vya wazi?
Mbowe ndio alimwagiza spika awaondoe wabunge wa upinzani ndani ya bunge ili watoke huko nje wasiko na immunity ya kibunge ili awashughulikie?
Mbowe ndio anataka kuzuia mshahara wa Lissu na stahiki zake zingine kama mbunge?
Nyie ccm na watetezi wake muwajinga mno hamna akili za kuchambua mambo katika uhalisia wake
Mmebaki kuwa watumwa wa wanasiasa uchwara jamii ya jiwe ili kukidhi matarajio yao ya kisiasa huku wajinga mkitumika kama ngazi ya kupandia
Sent using Jamii Forums mobile app
Maprofesa wawili wa ccm wanashea wasichokielewa
Lissu anasema uchunguzi ufanywe kama ni mbowe itajulikana kama ni jiwe itajulikana kama na mahips itajulikana
Nahisi Nazi zenu ni koroma ndio maana zinakosa ushirikiano
Zero professor
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si ndio mwakilishi wao JfSasa si uwaandikie wahusika maofisi mwao au umeninukuu ili wakusome humu?
![]()
Hao watetezi wa shambulio la mh LissuMwakilishi!!!! Wa akina nani?
WEWE HUNA HATA UNALOJUA.Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yenu wanafiki woteDuh
Sikujua mtu akiandika yake basi anawakilisha..
Utajiju![]()
Wewe mwehu. Unadhani ul8sikia pekee yako? Au hata akili ya kukumbuka kilichosemwa, huna?Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajibaraguza tu, tulia dawa iingie vizuri.Wewe mwehu. Unadhani ul8sikia pekee yako? Au hata akili ya kukumbuka kilichosemwa, huna?
Mh. TL aliulizwa kuwa huenda ameshambuliwa na watu wa ndani ya chama chake, naye akajibu kuwa ndiyo maana anataka kuwe na uchunguzi. Na akafafanua kuwa uchunguzi ufanyike. Kama anatuhumiwa Mbowe, Magufuli, Makonda au mwingine yeyote, uchunguzwe huru ufanyike. Hivi kwa maelezo hayo, kwa hoja za kijinga unaona kuwa majibu hayo yanashabihiana na hicho kichwa chako cha habari?
Mambo gani bavicha mnayaleta TL kamtaja mboweNajua mtu anaweza kujitoa ufaham, lakini sikujua anaweza kufikia kiwango cha hali ya juu namna hii.
TL anamaanisha ikija kwenye swala lake, uchunguzi ufanyike kwa yeyote, hata kama itahusisha mke au ndugu take achilia mbali kiongozi wa chama. tatizo ni kwamba hata huo uchunguzi haufanyiki sasa,
Wanaotakiwa kufanya uchunguzi ni dola au CDM? Hauoni kwa kukosekana uchunguzi huru ni doa kwa utawala?
Mkiambiwa hamuwezi kazi mnasema mnautaaam wa kutosha, sasa mbona hiyo kesi ya Chacha na Mawazo hakuna chochote kilichofanyika hata kama mnamtuhumu mwenyekiti wa CDM?

Binadamu aliyepiga risasi 38 ni muhuni hawezi kuwa Mwanausalama aliyefunzikaBinadamu anayemmiminia binadamu mwenzake risasi 38 hakika si mzima na ukweli ni kwamba aliyemimina risasi kwa sasa anateseka kuliko aliyemiminiwa risasi...kweli Mungu Mkubwa.
Mkuu umeandika uongo.Hizi ndio nyuzi za kufuta kwasababu umeuadanganya uma.Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yako haya unatofauti gani na mleta nyuzi?Mkuu umeandika uongo.Hizi ndio nyuzi za kufuta kwasababu umeuadanganya uma.
Hoja ya Tundu Lissu ni kwamba, kwa wale wote wanaosema Chadema(au Mbowe) ndio aliyemshambulia kwanini jeshi la polisi lisiwachunguze?
Akahoji kuwa kwani sheria zetu zinaipendelea Chadema/Mbowe kwa kama wao wanahusika wasichunguzwe?
Mleta uzi amezungumza kana kwamba Lissu kasema Mbowe ndiye anayemhisi na hana budi kuchunguzwa.Alichosema Lissu ni kuwa hao wanaodai kuwa Mbowe anahusika si wamchunguze?