ChangeTZ
Member
- Nov 13, 2018
- 52
- 129
Kushambuliwa Tundu Lissu sio jambo la mzaha. Ni muhimu sana kupata majibu
Kushambuliwa Tundu Lissu sio jambo la mzaha. Ni muhimu sana kupata majibu
Hahahahahaaa,hawajui kama watu tuneshaangalia hotuba nzima tokea ilipotoka na si vipande vipande!!!
Unaanzaje kumchunguza MagufuliMbwa mwingine huyu hapa, mmetoka kudanganya kuhusu $300,000,000 mmekuja na huu ujinga mwingine.....
Halafu wapuuzi wa lumumba nao wanashabikia upotoshaji!HIvi ukiwa ccm inamaanisha akili zako unaziacha kabisa na kuanza kutumia makamasi? Lissu aliulizwa kuhusu tetesi kuwa mbowe anahusika na kushambuliwa kwake, alichojibu ni kuwa ufanyike uchunguzi kama ni mbowe au magufuli au bashite itajulikana baada ya uchunguzi. sasa wapi mnaposema kuwa kamtuhumu mbowe. Rudieni kuisikiliza hiyo clip vizuri wandugu wa ccm
Kama hiyo ni kweli basi wamefika pabaya.
Yetu macho
Hahahahaaaaa,mjinga anapofurahia upotoshaji wa makusudi!Uzuri wote tumeshaona clip nzima,hahahahaaa mkajipange!!!!!Haishangazi .
Huo ndio ukweli wenyewe.. anaujua hataki kuusema ili achafue tu serikali.
Video nzima tushaiona,anahangaika tu kupotosha!Mbona kama hiyo video imefupishwa kwa makusudi kabisa.....nahisi kuna kitu alikua anaelezea
Hahahahaaaaa,eti usiangalie video nzima!!!!Hv una akili timamu kweli??Usiangalie video nzima. Muhimu sikiliza ujumbe ulowekwa humo
Mungu atawaumbua tuNdiyo vizuri uamini kuwa anataka uchunguzi na siyo blah blah za kisiasa.
Usipotoshe watu Lissu amesema yoyote wanayetaka kumfanyia uchunguzi wamfanyie hata kama Mh.Mbowe usijifanye unajua sana kupotosha.Kama hiyo ni kweli basi wamefika pabaya.
Yetu macho
JF sio facebook,humu kuna watu makini!Tuliosikiliza hotuba ya Lissu tumemwelewa,sio upotoshaji huu!Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku anasema serikali, huku anasema Mbowe. Mara ni watu wasiojulikana. Je tuamini lipi?watu wanajua sana kutwist mambo, sasa hapo amemtuhumu kivipi!?