Nasikia hakumaliza saa 24 akabadili jinaBinadamu anayemmiminia binadamu mwenzake risasi 38 hakika si mzima na ukweli ni kwamba aliyemimina risasi kwa sasa anateseka kuliko aliyemiminiwa risasi...kweli Mungu Mkubwa.
Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wakichunguza wakakuta mbowe ndiyo aliyempiga risasi Lisu ,utaficha wapi sura yako?Lissu yuko very smart
Aliulizwa swali.la mtego kama aliloulizwa Yesu kuwa Yafaa Kumpa Kaizari Kodi au tusimpe?. yote ikiwa ni kujaribu kumuingiza mtegoni!
Lissu naye alipoulizwa kuwa hata Mwenyekiti wako inasemekana kuwa huenda alihusika je unasema naye achunguzwe?
Kama Lissu angesema asichunguzwe, jibu lingekuwa kuwa kumbe hauko serious wewe, bali unataka wachunguzwe unaowataka wewe!
Na kwa kuwa Lissu yuko smart akajibu, eeeh naye kama mnamdhania basi achunguzwe tu hiyo si ndo kazi ya polisi kuchunguza kila anayetuhimiwa?
Kakwepa huo mtego
Na wakichunguza wakakuta mbowe ndiyo aliyempiga risasi Lisu ,utaficha wapi sura yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndiyo maana yuko ndani?Sasa wewe kwa akili yako laiti Mbowe angekuwa anahusika si wangekuwa mbiombio wameshachunguza na kudeal naye?
Maana hiyo ingekuwa ni golden chance ya kummaliza kisiasa!
Na kibiti nao wavae tishirt za kuombea ndugu zao?Serikali hiwezi kupona kwenye hili suala maana hata kuvaa tishet ya maandishi ya kumuombea Lissu walikua hawataki
Hivi wewe ulisikiliza vizuri hiyo clip? walimuuliza tunasikia Mbowe anahusika na hayo mashambulizi dhidi yako. Akasema sawa, mimi sikatai, tufanye basi uchunguzi!! Unajua hoja ya kutaka wachunguzi toka nje lengo lake lilikuwa kama CHADEMA wanahusika, si itajulikana, tena ndio vizuri kwamba kama Polisi wetu watasema, itaonekana wamewabambikia, heri waseme hao wa nje. Serikali inatolea nje. sasa hapo ndio patamu. CHADEMa wako tayari kuchunguzwa, shida ni kwa hao mashosti zako Magufuli na Bashite
Leteni dereva uchunguzi uendeleeHivi wewe ulisikiliza vizuri hiyo clip? walimuuliza tunasikia Mbowe anahusika na hayo mashambulizi dhidi yako. Akasema sawa, mimi sikatai, tufanye basi uchunguzi!! Unajua hoja ya kutaka wachunguzi toka nje lengo lake lilikuwa kama CHADEMA wanahusika, si itajulikana, tena ndio vizuri kwamba kama Polisi wetu watasema, itaonekana wamewabambikia, heri waseme hao wa nje. Serikali inatolea nje. sasa hapo ndio patamu. CHADEMa wako tayari kuchunguzwa, shida ni kwa hao mashosti zako Magufuli na Bashite
Kwann wasije lumumba na njaa zao wavute saba elfu?Leo wana chadema mnakoma na kupewa vya uso.. huku wa humu..
Nimejua asilimka kubwa nyie sio wanachama hai wa hicho chama, bali ni watu mnaokuja humu kwa ajili vyuma vimekaza kutolea stress zenu za njaa kali.
Uchunguzi mbona tayari siku nyingi ndugu? Watuhumiwa wote wanajulikana. Hatuna haja ya uchunguzi wenu feki.
usitufanye cc wajinga kama wewe mburura wewe. amesema kuwa mbowe haimanishi kwamba anaruhusiwa kushambulia na kuua watu wapenda haki tunataka mbowe achunguzwe na ikibidi na vyombo vya nje kisha vihamie kwa wote suspect
Mimi sina za uso hapo kwani Mbowe ni binadamu kama binadamu mwingine, tatizo Jiwe ambaye ni Mungu.Leo wana chadema mnakoma na kupewa vya uso.. huku wa humu..
Nimejua asilimia kubwa nyie sio wanachama hai wa hicho chama, bali ni watu mnaokuja humu kwa ajili vyuma vimekaza kutolea stress zenu za njaa kali.
Kama hiyo ni kweli basi wamefika pabaya.
Yetu macho
Hawawezi kukuelewa kwani hata kwenye magwaride ya utambulisho wote siyo wahalifu. Waliomuweka Mbowe ndiyo itakuwa vizuri kwani Bashite na baba yake hawawezi kukimbiaPunguani, umeshindwa hata kuelewa dhana ya hiyo kauli.
Huu ndiyo mwisho wa akili yako kufikiri?usitufanye cc wajinga kama wewe mburura wewe. amesema kuwa mbowe haimanishi kwamba anaruhusiwa kushambulia na kuua watu wapenda haki tunataka mbowe achunguzwe na ikibidi na vyombo vya nje kisha vihamie kwa wote suspect