eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Inaonekana unasikia mara mbiliKama hiyo ni kweli basi wamefika pabaya.
Yetu macho
Utakuwa na utani na hii chakula ya boss!
hivi mbowe ana power ya kung'oa cctv camera kwenye nyumba za mawaziri,kuondoa polisi wote wanaolinda eneo hilo.mbowe ndio aliyezuia uchunguzi kutoka njeNa wakichunguza wakakuta mbowe ndiyo aliyempiga risasi Lisu ,utaficha wapi sura yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe mleta Mada ni kiaziHIvi ukiwa ccm inamaanisha akili zako unaziacha kabisa na kuanza kutumia makamasi? Lissu aliulizwa kuhusu tetesi kuwa mbowe anahusika na kushambuliwa kwake, alichojibu ni kuwa ufanyike uchunguzi kama ni mbowe au magufuli au bashite itajulikana baada ya uchunguzi. sasa wapi mnaposema kuwa kamtuhumu mbowe. Rudieni kuisikiliza hiyo clip vizuri wandugu wa ccm
We Dada unapakatwa na Nani hapo?Huku anasema serikali, huku anasema Mbowe. Mara ni watu wasiojulikana. Je tuamini lipi?
Pumbavu!Huku anasema serikali, huku anasema Mbowe. Mara ni watu wasiojulikana. Je tuamini lipi?
Aliyekwambia cctv camera zimeng'olewa ni nani?hivi mbowe ana power ya kung'oa cctv camera kwenye nyumba za mawaziri,kuondoa polisi wote wanaolinda eneo hilo.mbowe ndio aliyezuia uchunguzi kutoka nje
Tuamini ni wanaozuia mshahara wakeHuku anasema serikali, huku anasema Mbowe. Mara ni watu wasiojulikana. Je tuamini lipi?
Kama hiyo ni kweli basi wamefika pabaya.
Yetu macho
Watetezi wa chama tawala na serikali iliyopo madarakani ebu kuweni angalau na uwezo kidogo tu wa kuchakata mamboHaishangazi .
Huo ndio ukweli wenyewe.. anaujua hataki kuusema ili achafue tu serikali.