lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Yaelekea Uwezo wako wa kuchakata mambo ni mdogo. Ivi huoni hapo kawawekea kitanzi mjivike mwenyewe shingoni?Tundu Lisu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lisu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lisu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa bavicha wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kumalizia umeonesha wazi kuwa huwezi kupambanua
Sent using Jamii Forums mobile app