Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.

Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.

My take:

Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.

Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanya jitihada ya ku-divert issue
 
Wewe ndio mpumbavu hasa, pumbavu mpaka kwenye unyayo!

Mbowe angekuwa amehusika serikali ya ccm ingeshamfungulia mashtaka ya mauaji na kumfunga maisha kama sio kumnyonga.

Lakini kwasababu mnajua mlichokifanya, mnaishia kujamba cheche tu.

Sent using Sukhoi Su-57
Mpaka sasa hivi yupo segerea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitajwa mbowe hata kama ni kweli bavicha mtatoa uharo kama ilivyokuwa issue ya drugs..hatutaki mtuchafulie mazingira..huyo lissu azunguke wee, akichoka ataweka matako chini..kwanza ameshaanza kuomba chakula na ada kwa watu weusi..soon watamchoka maana anachofanya wengi wanaona hakina faida kwa ranzania ya sasa.

Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.

Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.

My take:
wewe ni mpumbavu rudia mara 1000.
kwamba LISSU Ameshambuliwa na serikali yab magufuli ipo wazi kabisa. rejea mipasho ya Musiba mzee baba japo sina hakika kama kweli wewe unastahili kuitwa baba

Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.

Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huoni kwamba hiyo ni vita ya uenyekiti?
 
Hizo ni mbinu za medani za Lissu, Lissu si mjinga kihivyo.
Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.

Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.

My take:

Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.

Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua nini kinatokea pale gari linapozimika gafla mlimani!!?
2020 ndo mlima wenyew labda tu uchaguzi usifanyika ila dhahiri naona anguko kubwa sana la Chadema..
Nawaonea huruma sana baadh ya wanasiasa mahiri wasio na siasa ya drama ndani ya upinzani wakina bulaya, mdee na wengineo ila naiman ni tatizo la muda tu..
 
Huo ni bonge la mtego. Mbowe nina hakika yuko tayari hata leo. Hao wengine wawili sasa ndio raha ilipo.
Tatizo la wana ccm hawana akili pambanuzi, wamezoea ndiyoooo bila kujua athari zake, hasa vijana waaliomo humu.
Mfano mzuri huyu anayejiata bia yetu. Huyu kijana hajui nyakati, kwenye kilio yeye anashangilia tu, na kwenye mashangilio yeye ni kushangilia kwa kwenda mbele.

Hapo mwanzo nilimwona kipara kipya na magonjwa mtambuka kuwa siyo makini.
Kwasasa hawa penye kucheka wanafanya hivyo, penye kilio wanalia mpk wanajificha, huwezi waona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alimpiga risasi Lissu, Dk Mollel alishatoa majibu. Ni Chadema. Nani kiongozi wa Chadema ni Mbowe.

Hili la Lissu kupigwa risasi hata Lissu mwenyewe atoke na kusema ni Mbowe, bado hawezi kugeuza ukweli kuwa jiwe ndiyo muhusika fullstop.
 
Back
Top Bottom