Wapi wananunua? Wewe ulishauza tayari. Haya unayayasema hapa ulisikia wanayasema au?.
Walinzi hawakuwa Polisi, walikuwa ni Askari wa Kampuni binafsi. Kawaida kama sehemu haijawahi kupata tukio la jabu hata mara moja na ambayo wanakaa watu wakubwa, huwa inafikia hatua hata Askari wanakuwa na imani kwamba hakuna kibaya kinachowezaa kutokea. Kwa hiyo wakati mwingine nao huwa wanakuwa na muda wa ku-realx au kusogea hata kwenye kibanda cha kahawa. Hawa watu waliokuwa wamepnaga kufanya tukio tayari walikuwa wameshasoma mwenendo wa Askari hao, na pia mwenendo wa Mh. Lissu. Kwani kwa mfano, hili tukio la juzi la Hamza lilitokeaje wakati wahusika ni askari na walikuwa na bunduki? Sana sana Mh. Lissu labda yeye alikuwa na bastola yake kiunoni, au hata hakuwa nayo kabisa