Nakwambia hivi japo umbishi hutaki hilo lakni jiwe ndiye alitoa tarifa ya Lissu auwawe, Mungu akamponya huyohuyo jiwe akamfanyia mizengwe kupitia supika asitibiwe,akafukuzwa ubunge ati ni mtoro bungeni,akanyimwa stahiki zake watu walijitolea kumuombea serikali kupitia mgongo wa mbwa policcm wakapiga marufuku yaani kila aina ya udhalimu unaoujua jiwe ameufanya Mungu atamlani japo amrfariki.
Ametesa watu sana. Dah Mungu atamuadhibu kwa aliyowatendea watu wasiokua na hatia.
Chadema baada ya tukio waliondosha cctv ili kupoteza ushahidi na vilevile waliondosha ulinzi ili Lissu apigwe risasi. Wacheni zihaka msijione mnavuta puunzi mkajiona mnahati miliki pekeyenu ya kuishi.
Sent from my SM-N9150 using
JamiiForums mobile app