Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Mungu akusamehe tu na kejeli zako. Yakikusibu furahia kama haya unayoyafurahia sasahivi.
Hizo ndio bitter facts za suala hilo, utake, usitake! Hata hao akina TOBO na Gaidi Mwenyekigoda wanajua hivyo. Wewe karagabaho na ushabiki wako!
 
Huyu Lissu anadanganya toto. Mwenye taarifa kuliko wote labda isipokuwa Lissu mwenyewe, ni dereva wake. Kwa nini anamficha dereva wake kwa gharama kubwa huko Ubeljiji ili tu asihojiwe? Anadhani akihojiwa atatoa taarifa gani itakayomwaibisha?

Kumbuka kina Lissu walikanusha minongono kuwa dereva alikuwa naye Nairobi ili afundishwe cha kujibu pindi akihojiwa na pollisi wakijibu kuwa ilibidi dereva awe na Lissu Nairobi ili atibiwe kisaikolojia. Cha ajabu Lissu alipohamishiwa Ubeljiji dereva naye yumo safarini Ubeljiji.

Lissu akaja kwenye project yake ya kugombea urais hakuthubutu kuja naye. Kuna nani cha kumficha dereva>>>
Hakuna mwenye ubavu wa kujibu hayo maswali! Waache wanaolishwa bure waendelee kula na kulala bure; wasichokoze nyuki wadogo ni wabaya na wakali kuliko nyuki wakubwa!
 
Huyu hata mwaka huu hauishi, nyama yake italiwa na udogo.
Usihangaike nae mana ameshupaza shingo, pamoja na maonyo yote aliyo onyeshwa kwa hatua Mungu alizo chukua hadi sasa.
Kwahiyo mwanachadema akiomba tu basi mtu anakufa!!? Nchi ngumu sana hii
 
Huyu Lissu anadanganya toto. Mwenye taarifa kuliko wote labda isipokuwa Lissu mwenyewe, ni dereva wake. Kwa nini anamficha dereva wake kwa gharama kubwa huko Ubeljiji ili tu asihojiwe? Anadhani akihojiwa atatoa taarifa gani itakayomwaibisha?

Kumbuka kina Lissu walikanusha minongono kuwa dereva alikuwa naye Nairobi ili afundishwe cha kujibu pindi akihojiwa na pollisi wakijibu kuwa ilibidi dereva awe na Lissu Nairobi ili atibiwe kisaikolojia. Cha ajabu Lissu alipohamishiwa Ubeljiji dereva naye yumo safarini Ubeljiji.

Lissu akaja kwenye project yake ya kugombea urais hakuthubutu kuja naye. Kuna nani cha kumficha dereva>>>
Hili jambo linashangaza sana kama Lisu mwenyewe alikuja hapa kwenye uchaguzi kazunguka nchi nzima hakupigwa hata fimbo.
Lakini eti dereva kafichwa kabisa utafikiri yeye ndie mlengwa aliye takiwa kuuawa.
 
Huyu Lissu anadanganya toto. Mwenye taarifa kuliko wote labda isipokuwa Lissu mwenyewe, ni dereva wake. Kwa nini anamficha dereva wake kwa gharama kubwa huko Ubeljiji ili tu asihojiwe? Anadhani akihojiwa atatoa taarifa gani itakayomwaibisha?

Kumbuka kina Lissu walikanusha minongono kuwa dereva alikuwa naye Nairobi ili afundishwe cha kujibu pindi akihojiwa na pollisi wakijibu kuwa ilibidi dereva awe na Lissu Nairobi ili atibiwe kisaikolojia. Cha ajabu Lissu alipohamishiwa Ubeljiji dereva naye yumo safarini Ubeljiji.

Lissu akaja kwenye project yake ya kugombea urais hakuthubutu kuja naye. Kuna nani cha kumficha dereva>>>

We lazima utakuwa ni mzee, au kijana lakini ni mshamba wa huko vijijini. Nyinyi ndio huwa mna uwezo mdogo wa kupambanua mambo pindi mnapolishwa propaganda mfu.
 
Nilidhani unajibu hoja ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana ughaibuni. Ingependeza zaidi kama ungejibu hoja ya ni kwa nini watu wazima wenye nyadhifa na wanaotegemea kupewa madaraka makubwa wanaongea uongo mchana kweupeee eti dereva anatibiwa kisaikolojia Nairobi ila baadaye anakwenda Ubeljiji na analipiwa kuishi huko maisha yake yote au mpaka hapo CHADEMA watakapokuwa watawala wa nchi hii
 
Hakuna mwenye ubavu wa kujibu hayo maswali! Waache wanaolishwa bure waendelee kula na kulala bure; wasichokoze nyuki wadogo ni wabaya na wakali kuliko nyuki wakubwa!

Hapo umenena. Halafu ujue hata hao inaosemekana wanahutubiwa na Lissu wanachaguliwa na nafikiri wanaambiwa asije hata mmoja akaulizia kuhusu alipo dereva na ni kwa nini awe huko
 
Nilidhani unajibu hoja ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana ughaibuni. Ingependeza zaidi kama ungejibu hoja ya ni kwa nini watu wazima wenye nyadhifa na wanaotegemea kupewa madaraka makubwa wanaongea uongo mchana kweupeee eti dereva anatibiwa kisaikolojia Nairobi ila baadaye anakwenda Ubeljiji na analipiwa kuishi huko maisha yake yote au mpaka hapo CHADEMA watakapokuwa watawala wa nchi hii

Nasema hivi, ww lazima utakuwa mzee, uchunguzi unamngoja dereva, kama dereva angekuwa amekufa uchunguzi usingefanyika?
 
Kumbe chifu huna akili hv??,
Acheni hadithi za "alinacha" na uongo juu ya suala la TOBO kupigwa "risasi za ndege"! Tumeshalizungumzia sana suala hili na the theory behind yake tukaisema. Ni hivi hicho kipigo alichopata TOBO ilikuwa na bado ni sehemu ya MKAKATI wa Gaidi Mwenyekigoda na JOPO lake kuhakikisha TOBO hapati nafasi ya UENYEKITI wa CHADEMA! Mkakati kama huo ulifanyika kwa yule Mura wa kule Tarime. Wote tunajua what happened to MURA! Amini - usiamini, mwanachama yoyote wa CHADEMA akikitaka hicho kiti ATAJUTA KUZALIWA. Najua huamini, lakini ukipata nafasi ya siri na ukaongea na Mwepesi, utaamini haya ninayo sema.
 
Ili suala la Dereva wa Tundu Lissu ni gumu kwakweli!

Kwa maelezo ya Lissu alidai dereva alikunjua siti wakati anashambuliwa ndo salama yake! Unajua button za seat ziko upande gani kwenye kiti cha abiria?

Sasa ngoja nikupe hiyo siri alafu ndo utajiuliza dereva hiyo seat alikunjuaje?
Screenshot_2022-02-01-19-26-40-16_e2d5b3f32b79de1d45acd1fad96fbb0f.jpg
 
Nasema hivi, ww lazima utakuwa mzee, uchunguzi unamngoja dereva, kama dereva angekuwa amekufa uchunguzi usingefanyika?
Maneno ya mtu aliyefilisika mawazo baada ya kuchoshwa mno sana. Endelea kujivua ufahamu
 
Mbona hajachunguzwa sasa.! The harlot at her best.
 
We lazima utakuwa ni mzee, au kijana lakini ni mshamba wa huko vijijini. Nyinyi ndio huwa mna uwezo mdogo wa kupambanua mambo pindi mnapolishwa propaganda mfu.
Wewe acha kutukana ndugu zako na wazee wako uliowaacha huko kwenu kijijini! Hakuna mshamba hapa,bali anakupa facts ziivyo kwenye suala la akina TOBO na GAIDI MWENYEKIGODA na NGO yao! Pinga facts kwa facts siyo kwa matusi ya rejareja!
 
Huenda Samia anaenda Ubelgiji kumuhoji dereva wa Lisu
 
Ila hili lijidubwana lisilojulikana ni hatari 😠
 
Back
Top Bottom