Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Lissu: Hata Mbowe achunguzwe!

Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.

Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.

My take:

Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.

Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yeyote mnayedhani anahusika achunguzwe tu....

Yeah, inawezekana Mbowe ndiye aliyetoa amri walinzi wote siku ile na saa ile ya shambulizi waondolewe...!!

Yeah, inawezekana Mbowe ndiye aliyetoa amri CCTV cameras zing'olewe immediately baada ya shambulizi.....!!

Yeah, inawezekana Mbowe ndiye aliyetaka Tundu Lissu apelekwe Muhimbili National Referral Hospital badala ya Nairobi usiku ule wa trh 7/9/2017 ili kuokoa uhai wake....!!

Hata Paul Makonda a.k.a Daudi Albert Bashite, Cyprian Musiba, Jerry Muro, Dr Tulia Ackson, Medard Kalemani na kila anayehisiwa akiwemo Jiwe a.k.a Magufuli (JPM) mwenyewe na ukiwemo wewe uhojiwe tu.....

Kwani kuna shida gani bhana?? Si ndiyo uchunguzi wenyewe bwana maana kama huhusiki, kwa upelelezi huo utagundulika tu!!
 
Yeyote mnayedhani anahusika achunguzwe tu....

Yeah, inawezekana Mbowe ndiye aliyetoa amri walinzi wote siku ile na saa ile ya shambulizi waondolewe...!!

Yeah, inawezekana Mbowe ndiye aliyetoa amri CCTV cameras zing'olewe immediately baada ya shambulizi.....!!

Yeah, inawezekana Mbowe ndiye aliyetaka Tundu Lissu apelekwe Muhimbili National Referral Hospital badala ya Nairobi usiku ule wa trh 7/9/2017 ili kuokoa uhai wake....!!

Hata Paul Makonda a.k.a Daudi Albert Bashite, Cyprian Musiba, Jerry Muro, Dr Tulia Ackson, Medard Kalemani na kila anayehisiwa ukiwemo wewe uhojiwe tu.

Kwani kuna shida gani bhana?? Si ndiyo uchunguzi wenyewe bwana maana kama huhusiki, kwa upelelezi huo utagundulika tu!!
Mbowe kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siyo ajabu na siyo mbowe tuuuu kama ulivoelewa wewe' . chamsingi uchunguzi huru ufanyike na hata wewe uchunguzwe
 
Kwanini kabla hajapigwa risasi hakuriport haraka iwezekanavyo kuwa amemuona Mh Makonda Mjini Dodoma kama aliamini/anaamini kuwa uwepo wa Mh. Rc ktk Mkoa huo ni kitisho kwa Usalama wake. But huyu jamaa ukichaa unamuandama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yani Lissu kusema hata Mbowe achunguzwe umepotea kabisa. Utachunguza mashambulio dhidi ya Lissu halafu uje na ripoti ya mauaji ya Wangwe, serious??!!

Mtego mkubwa hapo ni kwamba uchunguzi anzishwe. Na lissu anajua uchunguz ukianza yeye na dereva ni lazima wahojiwe kwasababu wao ndo waathirika na ni eye-witness. Ukiwahoji tu watakupa orodha ndefu ya waliowashambulia "KWA UHAKIKA NA KWA KUWAONA KWA MACHO" wala Mbowe hatakuwemo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamanda mumshauri Tundu baada ya ziara yake Nchini Marekani aende na mbinguni akatoe kilio chake kwani huku duniani naona kama wanambeza anaonekana kama kanjanja vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahaaaaaaaaaa nilikuwa sijui kumbe mbowe ndo alizuia uchunguzi juu ya kifo cha Chacha Wangwe basi Mbowe atakuwa nas nguvu kuliko selikali
 
Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.

Lissu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.

My take:

Kitendo cha Lissu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa BAVICHA wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.

Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi ulivyo mpumbavu umeshindwa kutambua kuwa lissu ameongea very strategically. Let me show you how:

Mbowe atareply na kusema yeye yuko tayari kuchunguzwa hata na wachunguzi huru wa kimataifa.

Bashite na baba yake kichaa jiwe watakataa. This is a calculated move. Ni mtego kwa magufuli na serikali yake!

Sent using Sukhoi Su-57
 
Ulivyo lofa unafikiri mbowe atakubali chunguzwe mauaji ya Wangwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyo lofa unafikiri mbowe atakubali chunguzwe mauaji ya Wangwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio mpumbavu hasa, pumbavu mpaka kwenye unyayo!

Mbowe angekuwa amehusika serikali ya ccm ingeshamfungulia mashtaka ya mauaji na kumfunga maisha kama sio kumnyonga.

Lakini kwasababu mnajua mlichokifanya, mnaishia kujamba cheche tu.

Sent using Sukhoi Su-57
 
CCM inaangamia kwa kuwa na wachumia tumbo wasio na akili yan hapo mtu kashndwa kumuelewa lissu dah
mleta thread umenisikitisha

lissu anamaanisha tukio lake kila mtu achunguzwe sasa jiulize kati mbowe na mzee meko au bashite nan atakataa kuchunguzwa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom