Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 6,053
- 22,637
Kabisa. Kupitia wapuuzi kama hawa, Waislam wote tunaonekana majuha.Hawa ndio wanaudhalilisha uislam.
Kuna baadhi ya masheikh wakianza kuzungumza nasimama na kutoka kichwa chini, nasikitika kwa uwezo wa akili wa viongozi wetu... Wengi hawana uwezo wa kujiuliza how, why?
Huyu ni sheikh ubwabwa