Lissu & Gwajima mmekosa shukrani (video)

Lissu & Gwajima mmekosa shukrani (video)

KIFUATACHO.....
downloadfile-1.jpg
 
Huyu sheikh kuna waumini wameinama chini inaonekana wanatamani wambebe wamtumpe nje ila wanaheshimu nyumba ya ibada
 
Hii mbona ni siasa na msikiti haujafungwa Hadi sasa? Hakuna kitu cha kijinga kama kutetea ujinga sababu mtu unaye mtetea ni wa dini yako. Sheikh ubwabwa hebu tuambie hayo matusi ni yapi.
 
Huyu kachanganya dini na siasa, sawa tu na gwajiboy...haki itendeke msikiti wake na wenyewe ufungiwe!

Au kwakuwa anamsifia mpiga mwingi inakuwa sawa?!?!.
 
Wapigania haki wengi hii nchi ni Wakristo...mention utaona!!
Vibaraka shee wengi hawajitambui!! Hawako conscious kabisaaaa...
Angalia ubwabwa eti anataka kukidumaza chadema
 
Kabisa. Kupitia wapuuzi kama hawa, Waislam wote tunaonekana majuha.
Hapana.
"Waislam wote" hawawezi kuonekana majuha, kwa sababu tu za wachache wenye misimamo potofu.
Kutokuwa mpotofu ni kukataa hayo wanayohubiri wapotofu.
Wanaokubaliana na hayo ndio wapotofu.
Siyo sahihi kuhukumu kundi zima kwa upotofu wa wachache. Na kiukweli, hao wapotofu wanapenda sana ionekane hivyo; kuwarundika waislam wote katika upotofu wa hao wachache.
 
Hahaha nakumbuka maisha ya halmashauri huko watu wanagalagala chini pindi mwenge ukija ili wapandishwe vyeo na kuwa wakuu wa idara au vitengo. Ujinga mtupu
Lakini ukweli wenyewe ndio huu uliousema hapa. CCM huku ndiko iliko tufikisha kama nchi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom