and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Sheikh anatema Madini bila chenga. Wabillah Taufiq
Kwamba Tundu Lissu alikuwa ananufaika na bandari?Lissu & Gwajima mmekosa shukrani (video)
Naam SheikhKwamba Tundu Lissu alikuwa ananufaika na bandari?
Kama huu upuuzi anaosema huyo kichaa hapo unaona ni madini basi wewe utakuwa unatumia makalio kufikiri.Sheikh anatema Madini bila chenga. Wabillah Taufiq
Hahaha kwamba Tanzagiza bado tunaishi kwenye hili pangoHuwa nikisoma "Myth of the cave" ya Plato na kinachoendelea Tanganyika.. Nabaki kumpa minyota mwamba
Tunawaua waliokwisha ona mwanga wakijaribu kututoa kwenye illusionHahaha kwamba Tanzagiza bado tunaishi kwenye hili pango View attachment 3366508
Samahani kusema kuwa huyu jamaa ni mpumbavu na hajui lolote. Gwajima amemtukana mama kivipi? Ni tusi au matusi gani amemtukana?
Trriiiiiiiiiiiiii sauti tamu ya Automated Teller Machine imesoma, nani asiyependa??. Asizungumzie siasa kwenye nyumba za ibada. Msajili bado yupo.
Kama mtu unampa pilau soda na ndizi mbivu anaridhika na kukuona wa maan san, je unategemea nn chenye mantiki kwake??